Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,740
- 3,548
Kuchepuka kawaida tu sikuhizi, siyo ishu tena kubwaa kuwa sasa ukiifanya uanze kujifeel guilt. Enjoy the life, life is yours..
Hujambo Kasie
Aisee,inaonekana we mkali sana. Nitumie hata kapicha nihakikishe.Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.
Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.
Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.
Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.
Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....
Kasie Mahaba.
niiiiceee...
Aisee,inaonekana we mkali sana. Nitumie hata kapicha nihakikishe.
Unatukanwa na mwanamke hivyo na bado unaishi Naye!? Anakufukuzaje au wewe umeolewa mkuu.Kwakweli nina mke na watoto watatu nimeoa 2007 ila nimechepuka na wanawake watatu mwaka huu na sababu zote mke wangu alisabababisha kwa asilimia kubwa
1.Aliponiambia kwa hasira hawa WATOTO siyo wako nilipandwa na hasira isiyo ya kawaida ila sikufanya reaction kwake nikaamua kutoka hapo nyumbani kwa bahati mbaya au nzuri nikakutana na bidada mzuri na mwenyewe UPENDO tukasalimiana tukapiga story mbili tatu tukabadilishana namba basi tukawasiliana mpaka nikasex naye siyo siri amekuwa faraja yangu kweli kuliko mke wangu
2.Mke wangu aliponifukuza eti niondoke hapo nyumbani nikakae napopajua Mimi nikamsaliti tena na mwanamke mwingine bila hata kupenda just campaign tukaishia sex
3.Kiburi chake na makelele yake kinasababisha kila akikasirika nitamani kwenda kwenye faraja ya mda eti akikasirika ananitukana kabisa mfano kuna SIKU alinitukana Mimi ni ****** tu yaani shoga kuanzia hapo hamu naye sina na sijui kama itarudi tena na huwa nikienda kwenye michepuko yangu wanaenjoi sana kuna MMOJA mpaka natamani ningechukua jiko awe yeye ni mstarabu hata kama ana tabia nyingine zilizojificha haziwezi kuwa mbaya kama hizi za mke wangu
JE wewe kipi kilisababisha UCHEPUKE UWE MWANAMME AU MWANAMKE
Aisee!Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.
Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.
Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.
Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.
Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....
Kasie Mahaba.
Ukikua utafahamuKuchepuka ndiyo nini [emoji23] [emoji1]
Mzima.Sijambo tozi mzima weyee?
Umeshamkumbatia wako tayari kuukaribisha mwaka?
Aisee!
Nigaie mmoja basi!
Huyo 'bachala'
Mzima.
Wa kumkumbatia yupo mbali na mimi.