NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
linakuhusu ndio maana, kila baa unayokunywa unaondoka na baamedi unadhani utalipenda.
nimeipenda!
linakuhusu ndio maana, kila baa unayokunywa unaondoka na baamedi unadhani utalipenda.
Sijaona relationship kati ya tangazo na kinywaji. Mi hilo tangazo ata silijui!
Vipi umeacha coca-cola tu au products zote za coca-cola?