Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Dah acha tu kwanza presha sema hutakiw kuendekeza hawa viumbe wanaleta jam sana na mpk umpate wakueleweka lazima upitie hiz changamoto
Sent using IPhone X
wa kueleweka wa kazi gani chief ? Kama umeshindwa kumpata wa kueleweka toka shule ya msingi basi sahau kupata tena, utaendelea kuwapata tunao wagonga gonga hu.... ni wale tu walio anza uhusiano toka cheke chea ndio wamepata wa kuelewana nao, tofauti na hapo unaibiwa