Sababu za Wanaume Kupenda Wake za Watu.

Sababu za Wanaume Kupenda Wake za Watu.

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
880
Reaction score
1,101
Kwa bahati mbaya zaidi kwa maisha ya sasa hivi kuhusu mahusiano unaweza kukutana na mwanamke naye licha ya kwamba ameolewa lakini naye anajihisi kumpenda mwanaume huyo na sababu kubwa huwa ni kwamba anakuwa hapati kile ambacho alikitarajia kwenye ndoa yake. Na hi uwaweka wengi katika njia panda, lakini sababu kubwa ya watu kutembea na watu waliopo katika ndoa huwani~
1.HAKUNA GHARAMA
2.HAKUNA USUMBUFU
3.HAKUNA KUGANDANA

nyingine mnaweza kuongezea wadau wenye experience na wake za watu mliowagegeda[emoji851]

Sent using IPhone X
 
Naomba tucomment tukianza na neno KWA HIYO..
 
Upo sahihi kabisa, wakwe za watu ni wa laini sana hata wachumba tu pia wa kizazi hiki wamekuwa wepesi sana, tukiachana na yote wana wake wa siku hizi wamekuwa wepesi sana, nafikiri wanakosa kujitambua wao ni akina nani na thamani yao ni ipi kwa mwanaume.. wamekuwa kama wamepagawa vile, Mungu awasaidia wajitambue aiseee.. watubanie hadi tukome maana tunawakosea sana adabu
 
Dah nakwambia sio mchezo yaan ukiwa na mke au mchumba ni tabu tupu unawaza nani anakugegedea aseee ht umpe nini bado ni kazi buree labda umpate anaejitambua napo ni nadra sana

Ndio maana mie nimeamua kukausha tu.. natazama mchezo twawala tu mademu wa watu na wachumba za watu, watamu hamu kama asali, ila wake wa watu hapana, huo mchezo nakushauri usijaribu... mademu na wachumba we kulaa tu, ila wake za watuu waache, huwezi jua reaction ya mme wake 😀😀😀😀
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hao unaowala madem za watu ndio wake za watu watarajiwa pia mkuu huon km shida iko pale pale unafeel vipi na ww ukikuta dem wako analiwa na mshikaj hahahaha achana na hayo maumivu ni yale yake tu sawa na mke ukute ndio unahudumia mahitaj km yote af kuna boya mmoja anakula kimterezo tuuu

sasa mie sina demu wala mchumba chief! roho yangu haina maumivu, acha tuwapige tu
 
Hahahaha au ndio wale wa bugurun wanahusika mkuu maana ukiwa nao km wale huna presha wala maumiv[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using IPhone X
😀😀😀... wa buruguni wa kazi gani chief ! hawa hawa mademu na wachumba zenu ndio tunawapiga kisela, raha ya demu mle mate, sasa hao wa buguruni utaanzia wapi kuwala mate eeeh
 
Dah acha tu kwanza presha sema hutakiw kuendekeza hawa viumbe wanaleta jam sana na mpk umpate wakueleweka lazima upitie hiz changamoto

Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom