GE2025 Sababu za wanaompinga Dkt. Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huu ndo ukweli ambao unawauma wengi na watu wa mlengo wa kushoto.๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Lile genge lililotaka Samia asiapishwe wameaga siasa, wote waliokuwa kwenye kimemo cha Mkuu wa Majeshi kwa Rais Samia. Mfumo uliwataka wasigombee

Cc:Ruangwa. Kongwa, Bashiru yeye aliona mbali hakuchukua hata fomu. Polepole alikuwa anajifanyq kuongea na Ruangwa na Kigoma kwa siri hakujua kwamba ndani ya ofisi za hao wakuu kumejaa vinasa sauti na kamera vya siri vya idara ya usalama wa serikali, eti wanapanga kumuondoa SSH asigombee 2025, akawaponza zaidi.

Sasa Polepole ni wa kumuahidi Uwaziri Mkuu kweli? Ndio maana kapata wenge.
 
Sgr iishe please, ifike Mwanza na kigoma na hiyo ndio legacy pekee ya Bimkubwa mengine yote ni taarabu tu.

Kuna video flani ya boss mjeda akieleza walichotaka kufanya baada ya kifo kile, ila sijui kwanini hakuwataja majina watz wawajue wahuni wa taifa! Aisee wahuni wapo wengi ndani ya suti! Mjeda anastahili nishani na heshma kubwa kuzuia wahuni kuvunja katiba na kuiweka nchi salama.

Wanamchukia Maza sababu ya jinsia, dini na alipotoka na ofcourse pia uwezo wake mkubwa wa kumaliza miradi na kuibua ya kwake kama the royal tour, the dream of nuclear power plant, scholarships etc

Mitano tena anastahili kabisa Bimkubwa. Mama ameweza!
 
Unatafuta ubunge wa ๐Ÿ‘™ wewe mama
 
Ambacho bado hamjaelewa machawa ni kwamba huu ni mwaka 2025 ila mbinu zenu ni zile zile za zamani boresheni mbinu kidogo... Angalia Sasa unavyoabika kwenye comment watu walishastuka someni alama za nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ