Sababu za wanandoa kwenda nje ya ndoa yao

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Habar za leo wana jf.
Kuna sababu nyng zinazosababisha wanandoa kutoka nje ya ndoa zao nazo ni pamoja na:-
1.wanandoa kujsahau
pind wanapokuwa wachumba huahdiana mengi zaidi.
2.kupunguza utamu
unakuta wakati wa uchumba/upenzi wanapeana ile ya haja na kila mmoja kuridhika lakini baada ya ndoa huanza ratiba na visingizio kibwena
3.kunyimana uhuru
unakuta wakat wa awali mlikuwa mnaish kwa amani,uhuru na upendo lakn baada ya hapo uko wap?na nan? Unafanya nin? Kwanini? Huwa zinaboa na kuifnya ndoa kama kifungo.
4.kubadilika kwa maisha.

Unakuta maisha ya awali mmoja aliamin kuwa ni bingo sasa maisha yamechange
5.Tamaa
wengi huponzwa na tamaa za pesa ama uroda hii ni kutokana na tabia za mtu binafsi hasa anaposhndwa kujizuia.
6.Makundi
epuka sana mwanamke/mwanaume mwenye makundi kwn mmoja kwenye kund akikuchukia tu na ananguvu kwny kund imekula kwako.
7.Iman za kishirikina
kuxa wengu huamin kuwa akishaolewa/kuoa ni lazima amfunge mwenza kutoka nje wakati mganga mwenyewe anamgogoro huo huo na mkewe/mmewe.
8.Utumiaji wa madawa
kama dawa za ngozi,nywele,pombe,bangi na dawa za kuongeza nguv za kiume kwani huleta negative impact kubwa.
9...
10..
 
4....
5....

Mbona umeishia kati kati bana.............. zilitakiwa azifike kama kumi hivi.
 
hii haijapotea jukwaa kweli?anywayz...kiufupi inataka moyo kuwa ndani ya ndoa...
 
Kaka James ukishakuwa porini usiogope nyoka kaka.nilazima mwisho wa cku uoe au la fanya kinyume chake.
 
Yafaa mtu kuyatambua baadhi ya matatizo yaliyoko kwenye ndoa ili pindi utakapo ingia ujue utajipanga je ktk ndoa
 
Wanando waendelee kuvumiliana tu, sioni sababu ya halali itayomfanya mwanandoa kutoa penzi nje. Kama kunamapungufu ni bora ndoa ivunjike kwanza.
 
Habar za leo wana jf.
Kuna sababu nyng zinazosababisha wanandoa kutoka nje ya ndoa zao nazo ni pamoja na:-
1.wanandoa kujsahau
pind wanapokuwa wachumba huahdiana mengi zaidi.
2.kupunguza utamu
unakuta wakati wa uchumba/upenzi wanapeana ile ya haja na kila mmoja kuridhika lakini baada ya ndoa huanza ratiba na visingizio kibwena
3.kunyimana uhuru
unakuta wakat wa awali mlikuwa mnaish kwa amani,uhuru na upendo lakn baada ya hapo uko wap?na nan? Unafanya nin? Kwanini? Huwa zinaboa na kuifnya ndoa kama kifungo.
4.kubadilika kwa maisha.

Unakuta maisha ya awali mmoja aliamin kuwa ni bingo sasa maisha yamechange
5.Tamaa
wengi huponzwa na tamaa za pesa ama uroda hii ni kutokana na tabia za mtu binafsi hasa anaposhndwa kujizuia.
6.Makundi
epuka sana mwanamke/mwanaume mwenye makundi kwn mmoja kwenye kund akikuchukia tu na ananguvu kwny kund imekula kwako.
7.Iman za kishirikina
kuxa wengu huamin kuwa akishaolewa/kuoa ni lazima amfunge mwenza kutoka nje wakati mganga mwenyewe anamgogoro huo huo na mkewe/mmewe.
8.Utumiaji wa madawa
kama dawa za ngozi,nywele,pombe,bangi na dawa za kuongeza nguv za kiume kwani huleta negative impact kubwa.
9...
10..

Hapo sasa umepatia................. Si unaona imependeza eh!
 
Back
Top Bottom