Njooni June 15 muwalipie hizo mnazosema penati.Lile tukio la kwanza lilikuwa ni clear penalty! Walau yale matukio mengine mawili, mwamuzi angeweza kusema ni 50/50!
Maajabu sasa! Matukio yale yale wangecheza simba, yote wangepewa matuta!
Nadhani ifikie wakati waamuzi wetu wajisikie aibu, na hivyo kuachana kabisa na huu upuuzi wa kuzibeba baadhi ya timu fulani fulani kwenye ligi.
Mwambie kwanza Kayoko awape simba penalty zao alizowanyima dhidi yapenati tatu za wazi zimekataliwa. laiti matukio yale yangekuwa upande wa pili, basi yote yangekuwa penati
ndipo muendelee na hii mijadalapunguza hisia toa maoniVAR kwenye Rushwa haifanyi kazi, wale Stellenbosch wametolewa na Simba kwa Dhulma uku VAR katika mechi zote mbili ilikuwepo.
Kule Morocco mechi ya kwanza ya fainali ya Simba, kabla ya mchezo kuanza ma Captain wa timu wali itwa na refa kuambiwa VAR haifanyi kazi.
Simba walipo tiwa chuma ya tatu, VAR ikapona na kuamuliwa Goli la tatu la Berkane sio Goli.
Yakaja matukio mawili ya Penalty walizo stahili kupewa Berkane VAR ikawa imerudi kwenye Ubovu hawakuweza kuona Yale matukio ya Penalty.
Apa Bongo ata VAR ikiwepo Bado maamuzi yatakua ya hovyo kwakua marefa ndio walewale wakina Tatu malogo, Kefa Kayombo, Heri Sasi n. K
Ayo ndio maoni, hakuna hisia yaani iki tunachokiona kwenye Ligi kwa sasa ndicho kitakacho tokea ata VAR ikiwepo.punguza hisia toa maoni
My name is Ramadhani Kayoko.......dabi ljayo refa nitakuwa mimi tenaLile tukio la kwanza lilikuwa ni clear penalty! Walau yale matukio mengine mawili, mwamuzi angeweza kusema ni 50/50!
Maajabu sasa! Matukio yale yale wangecheza simba, yote wangepewa matuta!
Nadhani ifikie wakati waamuzi wetu wajisikie aibu, na hivyo kuachana kabisa na huu upuuzi wa kuzibeba baadhi ya timu fulani fulani kwenye ligi.
Kabla ya mechi tulikubaliana kwamba hatutaki magoli ya penati maana huwa zinakuwa za mchongo. Mwamuzi ameheshimu makubaliano yetu 😂penati tatu za wazi zimekataliwa. laiti matukio yale yangekuwa upande wa pili, basi yote yangekuwa penati