Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,553
Akina sumayeWaliosaini mikataba na kula 10% ni kina nani??
Lumumba mbona ni wasanii??
Akina sumayeWaliosaini mikataba na kula 10% ni kina nani??
Lumumba mbona ni wasanii??
Nilijua tu utahamisha goli maana umejifunza kutoka kwa kina Mbowe. Kwanini unamlaum magufuli kama una akili ya kutambua kua waziri mkuu ha sign mkataba je waziri wa kawaida atakuaje na nguvu? Nimeshasema ninyi wafuasi wq ccmLowassa na Sumaye si watia sahihi kwenye mikataba!! Unaweza kutaja mkabata hata mmoja ambao Lowassa na Sumaye waliingia?
Kumbe wakati mwingine akili inakurudia. Sawa waziri mkuu anaambiwa na rais mbona unamshambulia Magufuli na yeye alikua waziri yena junior wakati wa hiyo shughuli. Sikishangai maana umejifinzia kwa mbowe kuhamisha magoli. Ninyi wafuasi wa ccm na ukawa mnatakiwa kupimwa akili zenu.Lowassa na Sumaye hawakuwa watia sahihi kwenye mikataba!! Unaweza kutaja mkataba hata mmoja ambao Lowassa na Sumaye waliingia?
Waziri Mkuu hana mamlaka ya kutia sahihi mkataba wowote ule kwa niaba ya Tanzania mpaka atumwe na kuruhusiwa na Rais aliyeko Madarakani!
Nani kasema wameshindwa, juzijuzi ilisemwa negotiations zinaendelea na team yao walianza 14 imegonga mwamba imebidi waongezeke hadi 25 while ours iko kwenye idadi ile ile.......hii ni sign kuwa tuko vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
EATV wameripoti kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa wa akili nchini kutoka laki sita hadi laki saba. Bila shaka wewe ni miongoni mwao maana hata huwa huelewi unachojadili!Jitahidi ukamuone daktari kama ndugu yako Deogratias Kisandu Nalimi mkuu. Unaandika mambo unayayaota mchana.
Waweke upande wa washirika na walioridhia !Lowassa na Sumaye hawakuwa watia sahihi kwenye mikataba!! Unaweza kutaja mkataba hata mmoja ambao Lowassa na Sumaye waliingia?
Waziri Mkuu hana mamlaka ya kutia sahihi mkataba wowote ule kwa niaba ya Tanzania mpaka atumwe na kuruhusiwa na Rais aliyeko Madarakani!
Mkuu umeniwahi na hoja yako.Nani kasema wameshindwa, juzijuzi ilisemwa negotiations zinaendelea na team yao walianza 14 imegonga mwamba imebidi waongezeke hadi 25 while ours iko kwenye idadi ile ile.......hii ni sign kuwa tuko vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mood hizi lugha za matusi/maudhi hazivumiliki, jaribuni kutafuta namna ya kuzikomesha ilikulinda jukwaa hili.wewe jamaa ni mseng.e kwahiyo wewe unaakili sana na kujua sheria kuliko kabudi na watu wanaomzunguka rais?
1. Kwenye Sheria ya Madini hakuna kifungu kinachoipa Mamlaka Kamati ya Rais
2. Kwenye mkataba hakuna kipengele kinachoipa mamlaka Kamati ya Rais
3. Sheria inamtambua Kamishna wa Madini na sio Rais, hivyo mwenye Mamlaka ya kutengua kibali ni Kamishna wa madini na sio Rais.
Na kwamba kama kuna udanganyifu mwenye Mamlaka ya kutengua ni Kamishna wa madini na sio Rais na Kamati yake. Kwa hiyo Rais angemuita Kamishna akamulekeza atengue maamuzi kwa maandishi
The Whole Issue is null and void
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bahati mbaya sana kwako sijakanyaga udongo wa bongo kwa mwaka na nusu hivyo hiyo report inakuhusu wewe na jibu na imepata kwanini wanasiasa wa tanzania wawe wa ccm ama ukawa wanapeta jawabu wana wagonjwa kama wewe wengi mkiambiwa leo Magu mbaya mnashika kidedea kesho mkiambiwa mzuri mnabadilika sababu akili zenu zinatumika kwa remote control.EATV wameripoti kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita kumekuwepo na ongezeko la wagonjwa wa akili nchini kutoka laki sita hadi laki saba. Bila shaka wewe ni miongoni mwao maana hata huwa huelewi unachojadili!
Ukurupukaji hoyeee,ccm sema hoyeeee.mnaogopa nini kusema hoye na wakati bungeni mnaitwa wanafiki semeni ndioooo na mnasema ndioooo tena kwakuacha viti vyenu na kushangilia. Shemu oni yuu sisiemu wahedi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg yangu team Magu ni nini??Usiniweke kwenye vyama mkuu. Mimi sina chama na sitetei uozo wa ccm ila na wewe fumbuka usiwe kama kipofu kina chenge na kina sumaye ni wale wale wasikurubuni na magwanda ya khaki. Walishafanya mengi mabovu wamekimbilia mafichoni sababu wanajua kwa nchi ya Magu lazima uwe na pango la kujificha. Mimi ni timu Magu2015/2025
mtatoa povu,hadi,mkome.1. Kwenye Sheria ya Madini hakuna kifungu kinachoipa Mamlaka Kamati ya Rais
2. Kwenye mkataba hakuna kipengele kinachoipa mamlaka Kamati ya Rais
3. Sheria inamtambua Kamishna wa Madini na sio Rais, hivyo mwenye Mamlaka ya kutengua kibali ni Kamishna wa madini na sio Rais.
Na kwamba kama kuna udanganyifu mwenye Mamlaka ya kutengua ni Kamishna wa madini na sio Rais na Kamati yake. Kwa hiyo Rais angemuita Kamishna akamulekeza atengue maamuzi kwa maandishi
The Whole Issue is null and void
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Wewe muongo! Lini Yesu alisema ukawa wasamehewe?Hawa wapenzi wa ukawa ni wa kuwaonea huruma mkuu Yesu alisema tuwasamehe hawajui walitendao
Sina chama ila kama mtanzania Magu ni timu yangu. Nilikua timu Mtikila kwa muda mrefu lakini sina muda na matapeli wa kisiasa kama kina LOWASSA Sumaye, Nape. I wish kungekua na kina Bashe na Prof Jay wengi. Bashe ni msema kweli na Jay ni mchapa kazi. Waliobaki hata huyu mgonjwa wetu ni opportunist wa siasa.Ndg yangu team Magu ni nini??
Mnabomoa chama lenu kama Mutharika wa Malawi??
Is that a new desparate vehicle to escape the reallity!!
Vua gwanda nini??
Kama wao walikua wanajua sheria mwisho wa cku tupo hapa bora niungane na mleta bandiko tu magu hajui sheria yeyote ilewewe jamaa ni mseng.e kwahiyo wewe unaakili sana na kujua sheria kuliko kabudi na watu wanaomzunguka rais?
WAZUNGU mliwaleta nyie mnaojipaka rangi ya "uzalendo", kwa mikataba yenu feki. Mkawaundia (kwa dharura) sheria za kuwalinda. Ili kuwaondoa nako itatumika mikataba hiyohiyo mlioweka kwa 10% mlizokula. Hapo ndipo "UZALENDO" wenu ulipotufikisha.Acha usng wee.... Watayachimba kama yako kwao sio kwenye aridhi ya Tz... Hawa wanzungu wamewaroga na hiyo mikataba yenu fake... Na ten %
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anafikiria mara3 zaidi yako bado ww unasema uko vzr cc bongo hatuna wataalamu bari tuna watu wenye viherehere tu wao wanaleta wataalamu kwenye kila sekta sisi mtu m1 anahudumu sekta 3 uyo anakiherehere na wala cyo mtaalamu so usishangae wao kuongeza wataalamu wabobezi cc tunabaki na hao hao wetu tena wakitoka hapo wanapeleka taarifa kwa mvurugaji nae anawashauri hahahaaa pombe nzuri sana kama haikufanyi ukavunja heshima mtaani tuNani kasema wameshindwa, juzijuzi ilisemwa negotiations zinaendelea na team yao walianza 14 imegonga mwamba imebidi waongezeke hadi 25 while ours iko kwenye idadi ile ile.......hii ni sign kuwa tuko vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app