Sababu za Tanzania kushindwa mjadala wa Makinikia

Wezi akina nani
Wezi wote wapo ccm.mbona kila siku inapotajwa kuingia mikataba ya hovyo inawahusu wasafi wa ccm?
Ila wachafu wa upinzan hakuna.
Tatizo lenu mkishindwa hoja mnatumia BUNDUKI

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenisoma vizuri ama na wewe una utindia ubongo. Nimeweka list ya wezi ambao unawaita makamanda. Wezi wa ccm wakiletewa figisu wanakwenda ccm B Chadema maana huko ndiko kimbilio lao. Kwasasa hata wezi waliobaki ccm wana kazi ya ziada. Mimi ni timu Magu2015/25 ukitaka kuwa na akili nzuri achana na vyama jiunge na timu ya ushindi na uzalendo Timu Magu2015/25
 
CCM na serikali yake iliyokuwa inatuaminisha kuwa mikataba hii ina manufaa kwa wananchi leo tena wanakuja na wimbo mwingine.
Wakati wanaandaa na kusaini hii mikataba walikuwa wamelewa au?
 
Haya yote ni kwa sababau hawa mbwa ccm ni mawakala wa mafisadi na wezi wa taifa hili kwa kuingia mikataba yote kwa maslahi binafsi na kuwatwisha mzigo watz huku baadaye wakijifanya wazalendo.......
bungeni ndo usiseme....wabunge wa ccm NDO KICHAKA NA MUHURI WA KUPITISHIA UOVU WOTE KWA KURA ZA NDIO
 
Wote wenye maoni tofauti ni Ukawa,wasaliti? Ndio maana mmeona bunduki inafaa kukabiliana na ukosoaji! Hovyo kabisa nyie watu...
Jitahidi ukamuone daktari kama ndugu yako Deogratias Kisandu Nalimi mkuu. Unaandika mambo unayayaota mchana.
 
Wengine waliosaini unalamba makalio yao ama umewasahau. Mashabiki wa ukawa na ccm akili zenu zina matatizo mnaombwe mjiunge na timu yetu inaitwa timu Pombe2015/25

Sumaye Waziri Mkuu
Lowasa Waziri/Waziri Mkuu
Mahanga Waziri tena hao wote ni mawaziri waandamizi wakati wa kuiuza nchi leo unawaita makamanda halafu unasema una akili timamu. Kapimwe labda utabadilika.
Umezinduka sasa??
Wataalamu wa sheria kina Chenge si unao na wenyeviti bungeni!!
Unatokea wapi kama sio kufilisi nchi.
Wataalamu wa sheria new generation mnapiga risasi!!
Tunaangalia tuu!!
 
1. Kwenye Sheria ya Madini hakuna kifungu kinachoipa Mamlaka Kamati ya Rais

2. Kwenye mkataba hakuna kipengele kinachoipa mamlaka Kamati ya Rais

3. Sheria inamtambua Kamishna wa Madini na sio Rais, hivyo mwenye Mamlaka ya kutengua kibali ni Kamishna wa madini na sio Rais.
Na kwamba kama kuna udanganyifu mwenye Mamlaka ya kutengua ni Kamishna wa madini na sio Rais na Kamati yake. Kwa hiyo Rais angemuita Kamishna akamulekeza atengue maamuzi kwa maandishi

The Whole Issue is null and void

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamishna anafanya kazi kwa niaba ya nani?
Nani mwenye rasilimali ya maduni?
 
Umezinduka sasa??
Wataalamu wa sheria kina Chenge si unao na wenyeviti bungeni!!
Unatokea wapi kama sio kufilisi nchi.
Wataalamu wa sheria new generation mnapiga risasi!!
Tunaangalia tuu!!
Usiniweke kwenye vyama mkuu. Mimi sina chama na sitetei uozo wa ccm ila na wewe fumbuka usiwe kama kipofu kina chenge na kina sumaye ni wale wale wasikurubuni na magwanda ya khaki. Walishafanya mengi mabovu wamekimbilia mafichoni sababu wanajua kwa nchi ya Magu lazima uwe na pango la kujificha. Mimi ni timu Magu2015/2025
 
Ndugu,

Mkataba wowote na nchi inayoitwa Tanzania husimamiwa na rais wa Tanzania. Rais huyo na mamlaka ya kuunda kamati yoyote itakayomsaidia kusimaia mkataba huo. Kamati haina authority bali ni tool ya rais ku-exercise authority yake.

Najua kuwa frustrations zimesambaa sana nchini kuhusu serikali, lakini yote hayo ni maamuzi watanzania wenyewe. Kama ambavyo watanzania walivyoamua kuwa waliokuwa wakijulikana kama "mafisadi" ndani ya CCM ndiyo "krimu" bora ya kuongoza upinzani, ndivyo vivyo hivyo watanzania hao hao walivyoamua kuwa yule anayedhaniwa kutojua kutumia madaraka ndiye kiongozi wao!
Hawataki kusikia kitu kama hicho.
 
1. Kwenye Sheria ya Madini hakuna kifungu kinachoipa Mamlaka Kamati ya Rais

2. Kwenye mkataba hakuna kipengele kinachoipa mamlaka Kamati ya Rais

3. Sheria inamtambua Kamishna wa Madini na sio Rais, hivyo mwenye Mamlaka ya kutengua kibali ni Kamishna wa madini na sio Rais.
Na kwamba kama kuna udanganyifu mwenye Mamlaka ya kutengua ni Kamishna wa madini na sio Rais na Kamati yake. Kwa hiyo Rais angemuita Kamishna akamulekeza atengue maamuzi kwa maandishi

The Whole Issue is null and void

Sent using Jamii Forums mobile app
Posts za usiku mrefu
 
Kajiunga upande wa Barrick, maana walikuwa 14 sasa wapo 25 !
 
Mkapa. Sumaye Lowasa na wemgine wengi unataka majina mengine?
Lowassa na Sumaye hawakuwa watia sahihi kwenye mikataba!! Unaweza kutaja mkataba hata mmoja ambao Lowassa na Sumaye waliingia?

Waziri Mkuu hana mamlaka ya kutia sahihi mkataba wowote ule kwa niaba ya Tanzania mpaka atumwe na kuruhusiwa na Rais aliyeko Madarakani!
 
Na hili ni tatizo kubwa sana la wanasiasa wetu, pamoja na mapungufu ya katiba yetu, sheria nyingi za mikataba huwa haziwatambui wanasiasa, hawana power ya kutoa maagizo yoyote katika mradi ila wanaweza kuwasilinia na aliyepewa mamlaka kwenye mradi afanye vile wanavyotaka lakini sio kum amrisha moja kwa moja anayetekeleza mradi.
 
Back
Top Bottom