Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho

1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara.
Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu ame opt kmtumia Camara ambaye alikuwa na majeraha, angekuwa timamu asingefungwa magoli mepesi

2. Viongozi wa Simba walikuwa busy na propaganda za ovyo ya mechi dhidi ya Tabora United vs Young Africans. Walijikita kutengeneza voice note za uzushi, kumtuma mkuu wa mkoa na kuwahonga wachezaji wa Tabora Wakasahau kuwa wana mechi dhidi ya Al Masry

3. GSM anadhamini Al Masry
GSM anaharibu ligi ya Shirikisho yaani anadhamini na Al Masry ndo maana wakaifunga Simba mbili bila
GSM adhibitiwe anaharibu mashindano ya shirikisho

4. Kutegemea penalties
Yaani Simba ili kumfunga tu Namungo hadi wapate penalties 4
Huko kimataifa kupata penalties ni ngumu na hazitoki ovyo.
Ahoua ameanzishwa akapige penalty

5. Kwanini Simba hawakukimbia mechi.
Tuliwashauri wagome kucheza ili Camara na Che maloni wapone kama wanavowaendesha bodi ya ligi lakini wakagoma

6. Simba walidhani huko CAFCC Kuna waamzi wetu
Walidhani Al Masry watapewa Red ♦️
Watafunga magoli ya offside, kule hamna uhuni

7. Wachezaji wa Simba ni wa kawaida mno
Huyo Mpanzu na Kibu wanakimbia kama wamekatwa vichwa
Yaani akili ndogo wanatumia,
Wamewakosa wachezaji kama Max, Chama na Pacome

Soma Pia: FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

Robo zimekuwa nyingi Sasa kilo ishafika

Karia Kawasaidie Simba

Mwakarobo forever
Dah! Simba wana utani sana. Kwa mpira walioucheza leo; aisee fainali wataisikia tu kwa majirani.
 
Mbona umeandika upumbavu sana ww
 
Nilijua ni mchambuzi kumbe ni mwiko nyuma.goli mbili kwa mpira ule hata nyuma mwiko wanakubali kiaina
Hili nimeona ni tatizo kubwa na kosa la kiufundi kwa makolo wote kuanzia semaji lao, simba hawakubali ukweli, hawakubali kuwa hawajui boli bali msaada wa marefa na promo kubwa na Godfather Karai, simba hawakubali kuwa wachezaji wao si daraja Bora na wengi wamechoka wako kwenye downfall, mashabiki wa simba daima hawajibu hoja kwa hoja, wao kazi yao kubwa ni kutukana na kejeli, na kwa mpango huo Yanga atakuwa bingwa hata miaka kumi hakuna ubishi.

Shida kubwa ya makolo ni kutembea na historia ya ushindi ya zamani na kuzubaishwa na rank za Caf huku boli likipigwa uwanjani nasi tunaona Simba wanavyovuja bila chenga!! Azam TV ni mwiba kwa simba maana red cards, penalties na upendeleo kwa simba toka kwa marefa ni wazi kwa kila anaeangalia mpira! Aibu sana, Yanga ilifika fainali kombe la single moms na kutolewa kwa kanuni ya goli la ugenini ila Simba hata robo fainali ni mlima mrefu kamasi zinashuka! Kwa mkapa Al Masry watafunga goli moja tu na nusu tu na kufanya mlima mrefu kwa kolowizard mbeleko fc!

Makolo badilikeni sajilini wachezaji wa maana hasa mabeki
 
Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho

1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara.
Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu ame opt kmtumia Camara ambaye alikuwa na majeraha, angekuwa timamu asingefungwa magoli mepesi

2. Viongozi wa Simba walikuwa busy na propaganda za ovyo ya mechi dhidi ya Tabora United vs Young Africans. Walijikita kutengeneza voice note za uzushi, kumtuma mkuu wa mkoa na kuwahonga wachezaji wa Tabora Wakasahau kuwa wana mechi dhidi ya Al Masry

3. GSM anadhamini Al Masry
GSM anaharibu ligi ya Shirikisho yaani anadhamini na Al Masry ndo maana wakaifunga Simba mbili bila
GSM adhibitiwe anaharibu mashindano ya shirikisho

4. Kutegemea penalties
Yaani Simba ili kumfunga tu Namungo hadi wapate penalties 4
Huko kimataifa kupata penalties ni ngumu na hazitoki ovyo.
Ahoua ameanzishwa akapige penalty

5. Kwanini Simba hawakukimbia mechi.
Tuliwashauri wagome kucheza ili Camara na Che maloni wapone kama wanavowaendesha bodi ya ligi lakini wakagoma

6. Simba walidhani huko CAFCC Kuna waamzi wetu
Walidhani Al Masry watapewa Red ♦️
Watafunga magoli ya offside, kule hamna uhuni

7. Wachezaji wa Simba ni wa kawaida mno
Huyo Mpanzu na Kibu wanakimbia kama wamekatwa vichwa
Yaani akili ndogo wanatumia,
Wamewakosa wachezaji kama Max, Chama na Pacome

Soma Pia: FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

Robo zimekuwa nyingi Sasa kilo ishafika

Karia Kawasaidie Simba

Mwakarobo forever
Wewe ni me au ke
 
Umeandika kwa uchungu kama upo leba 😂😂
 
Back
Top Bottom