Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

Sababu za Simba kufungwa na Al Masry

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho

1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara.
Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu ame opt kmtumia Camara ambaye alikuwa na majeraha, angekuwa timamu asingefungwa magoli mepesi

2. Viongozi wa Simba walikuwa busy na propaganda za ovyo ya mechi dhidi ya Tabora United vs Young Africans. Walijikita kutengeneza voice note za uzushi, kumtuma mkuu wa mkoa na kuwahonga wachezaji wa Tabora Wakasahau kuwa wana mechi dhidi ya Al Masry

3. GSM anadhamini Al Masry
GSM anaharibu ligi ya Shirikisho yaani anadhamini na Al Masry ndo maana wakaifunga Simba mbili bila
GSM adhibitiwe anaharibu mashindano ya shirikisho

4. Kutegemea penalties
Yaani Simba ili kumfunga tu Namungo hadi wapate penalties 4
Huko kimataifa kupata penalties ni ngumu na hazitoki ovyo.
Ahoua ameanzishwa akapige penalty

5. Kwanini Simba hawakukimbia mechi.
Tuliwashauri wagome kucheza ili Camara na Che maloni wapone kama wanavowaendesha bodi ya ligi lakini wakagoma

6. Simba walidhani huko CAFCC Kuna waamzi wetu
Walidhani Al Masry watapewa Red ♦️
Watafunga magoli ya offside, kule hamna uhuni

7. Wachezaji wa Simba ni wa kawaida mno
Huyo Mpanzu na Kibu wanakimbia kama wamekatwa vichwa
Yaani akili ndogo wanatumia,
Wamewakosa wachezaji kama Max, Chama na Pacome

Soma Pia: FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

Robo zimekuwa nyingi Sasa kilo ishafika

Karia Kawasaidie Simba

Mwakarobo forever
 
Pumba
Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho

1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara.
Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu ame opt kmtumia Camara ambaye alikuwa na majeraha, angekuwa timamu asingefungwa magoli mepesi

2. Viongozi wa Simba walikuwa busy na propaganda za ovyo ya mechi dhidi ya Tabora United vs Young Africans
Walijikita kutengeneza voice note za uzushi, kumtuma mkuu wa mkoa na kuwahonga wachezaji wa Tabora
Wakasahau kuwa wana mechi dhidi ya Al Masry

3. GSM anadhamini Al Masry
GSM anaharibu ligi ya Shirikisho yaani anadhamini na Al Masry ndo maana wakaifunga Simba mbili bila
GSM adhibitiwe anaharibu mashindano ya shirikisho

4. Kutegemea penalties
Yaani Simba ili kumfunga tu Namungo hadi wapate penalties 4
Huko kimataifa kupata penalties ni ngumu na hazitoki ovyo.
Ahoua ameanzishwa akapige penalty

5. Kwanini Simba hawakukimbia mechi.
Tuliwashauri wagome kucheza ili Camara na Che maloni wapone kama wanavowaendesha bodi ya ligi lakini wakagoma

6. Simba walidhani huko CAFCC Kuna waamzi wetu
Walidhani Al Masry watapewa Red ♦️
Watafunga magoli ya offside, kule hamna uhuni

7. Wachezaji wa Simba ni wa kawaida mno
Huyo Mpanzu na Kibu wanakimbia kama wamekatwa vichwa
Yaani akili ndogo wanatumia,
Wamewakosa wachezaji kama Max, Chama na Pacome

Robo zimekuwa nyingi Sasa kilo ishafika

Karia Kawasaidie Simba

Mwakarobo forever
Pumbavu unajza server bure
 
Watanzania tunajua sana. Hakuna hata cha maana hapa. Tunayoijua Simba kuna improvement kubwa!
 
Simba hamtaki kukubali ukweli kama Timu yenu Bado changa mpo kulaumu GSM anaharibu ligi
Sasa huko CAFCC GSM yupo
 
Watanzania tunajua sana. Hakuna hata cha maana hapa. Tunayoijua Simba kuna improvement kubwa!
Mlienda kutafuta improvement au ushindi😂😂 mbona hamueleweki malengo yenu ni yapi... Nyie ni simba au bata mzinga.
 
Haupo kwenye utimamu wako
Punguza hasira
Me sio niliyemsajili Mpanzu na Ateba
 
Nilijua ni mchambuzi kumbe ni mwiko nyuma.goli mbili kwa mpira ule hata nyuma mwiko wanakubali kiaina
 
Back
Top Bottom