Sababu za ongezeko kubwa la visa vya mauaji

Miaka ya 2000 RFA ilikuwa inakipindikinaitwaMatukio,asilimia 98 kilihusu matukio ya mauaji....
Pia nakumbuka kulikuwana Gazeti la Uwazi, maranyingi jichwakikuu cha habari kilihusu habari za mauaji..
Pointi yangu ni kuwa..haya matukio yalikuwepo sana hata kipindi cha nyuma, utofauti ni kwasasa habari inaenea haraka sana..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app

Naam mkuu.. kipi? Kifanyike matendo haya yapungue
 
Habari wakuu

Nini? Sababu la ongezeko kubwa la mauaji.. tangu kati kati ya mwaka jana mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la vifo vikiongozwa na vifo vya mauaji nini? Tatzo

Labda ni wanahabari kuyafikia matukio kwa haraka na kutusogezea habari lakini matukio yalikuwa yakitokea kama kawaida ila tulikuwa hatupati habari tu..

Au kama kweli ongezeko lipo nini? Sababu ya ongezeko hilo.. imani imepungua.. wivu umezidi, tamaa za mali.. au binaadamu tumeshachanganyikiwa maana imekuwa ovyo ovyo katika nchi yetu.. juzi huko eti? Wakefukua kaburi la mtoto na kuondoka na mwili.. tunaenda wapi? Na mambo ya ovyo hivi?

Achana na zile za kisiasa
Yalipotokea wakati wa utawala wa magufuli, watu walingaka kuwa yalikuwa yanafanywa kwa amri ya Magufuli, na mpaka leo bado kuna wanahusisha mauaji ya mwandishi Azory na amri ya magufuguli ingawa hatujaletewa ushahdi hata siku moja. Je sasa hivi bado magufuli anatoa amri yafanyike?

Ikumbukwe kuwa hali ya Mauaji nchini siyo mpya; huwa kuna kipindi yanajitokeza sana, na baadaye kupungua. Nimekuwa nadhani kuna imani ya ushirikina huendana na mauaji hayo. Wnaua ili kuchukua viungo fulani vya mwili wa victm kwa ajili ya kuvitumia kishirkikna. Miaka ya sabini wakati wa Nyerere kulikuwa na mauaji ya Mumiani yakatikisa sana nchi. Baadaye miaka ya themanini wakati wa mwinyi yalitokea mengine pia yakatikisa sana nchi, na hata wakati wa Mkapa yalitokea. Hii ni cycle inayotokea mara kwa mara sana hapa kwetu.
 
Yalipotokea wakati wa utawala wa magufuli, watu walingaka kuwa yalikuwa yanafanywa kwa amri ya Magufuli, na mpaka leo bado kuna wanahusisha mauaji ya mwandishi Azory na amri ya magufguli ingawa hatijalelewa ushahdi hata siku moja. Je sasavidi bado magufuli anatoa amri yafanyike?

Ikumbukwe kuwa hali ya Mauaji nchini siyo mpya; huwa kuna kipindi yanajitokeza sana, na baadaye kupungua. Nimekuwa nadhani kuna imani ya ushirikina huendana na mauaji hayo. Wnaua ili kuchukua viungo fulani vya mwili wa victm kwa ajili ya kuvitumia kishirkikna. Miaka ya sabini wakati wa Nyerere kulikuwa na mauaji ya Mumiani yakatikisa sana nchi. Baadaye miaka ya themanini wakati wa mwinyi yalitokea mengine pia yakatikisa sana nchi, na hata wakati wa Mkapa yalitokea. Hii ni cycle inayotokea mara kwa mara sana hapa kwetu.

Ni hatari mno
 
Kweli Mkuu.. kabla hatujaanza kuwapa funzo la kuanza kumuamini M/MUNGU.. serikali ipitishe sheria kali tofauti hii ya miaka 30-50 mpaka kifungo cha maisha ikithibitika kweli mtu ameua apewe adhabu takatifu ili ikomeshwe naona kama wanafanya mzaha vilee
Wapi ulisikia adhabu kali inasaidia?
 
Habari wakuu

Nini? Sababu la ongezeko kubwa la mauaji.. tangu kati kati ya mwaka jana mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la vifo vikiongozwa na vifo vya mauaji nini? Tatzo

Labda ni wanahabari kuyafikia matukio kwa haraka na kutusogezea habari lakini matukio yalikuwa yakitokea kama kawaida ila tulikuwa hatupati habari tu..

Au kama kweli ongezeko lipo nini? Sababu ya ongezeko hilo.. imani imepungua.. wivu umezidi, tamaa za mali.. au binaadamu tumeshachanganyikiwa maana imekuwa ovyo ovyo katika nchi yetu.. juzi huko eti? Wakefukua kaburi la mtoto na kuondoka na mwili.. tunaenda wapi? Na mambo ya ovyo hivi?

Achana na zile za kisiasa
inawezekana mauaji yalikuwepo tangu zamani ila ndio hivyo yalikuwa hayaripitiwi sana. kwa wale waliopo kwenye vyombo vya ulinzi, wanajua kuwa mauaji haya yamekuwepo siku zote, kuna kesi nyingi sana za mauaji huko mahakamani.
 
Ndio mkuu.. na hayatarajiwi kupungua?
 
Ndio mkuu.. na hayatarajiwi kupungua?
maadamu shetani bado ana exist, usitegemee dhambi itapungua. kuna mikoa kama Mara watu wamekuwa wakikatwa mapanga miaka nenda rudi, Mbeya na mbozi huko wanachunwa ngozi, mauaji ya albino, n.k, sema mwendazake na utiisho wake alituliza mambo mengi ikaonekana kama wamepungua, ila ukweli ni kwamba kila siku kesi za mauaji huwa zinafunguliwa mahakamani. judiciary sasaivi wameweka kila kitu mtandaoni, ukiingia utashangaa namna idadi ya murder case zinazofunguliwa kila siku. watu wanauawa sana, sema mauaji haya yametisha sana kwasababu ya binti kuua mamake, kijana kuua babake, polisi kuua raia n.k tena kwa mauaji ya kutisha. ila hizi sijui za kuua hawara, kuua mke, kuua kwa ugomvi wa mashamba, kuua kwa kusingizia uchawi, ni vitu ambavyo vinatokea kila siku. ila sio vizuri. kuna haja polisi badala ya kukesha wakitetea trafiki wapokea rushwa, waelimishe raia kutokujichukulia sheria mkononi.
 
Kuwa wazi hii ni (natural) asili kwamba haiwezi kuzuilika?
 
tangu tuanze kuzuia mauaji mbona kila siku yanafanyika, tangu tuanze kupamban ana wizi mbona kila siku unaongezeka, magereza ndio yanazidi kujaa,na askari magereza hawakosi kazi. to be honest, tukifanya kazi kwa bidii tunaweza kupunguza ila sio kufuta kabisa. nafikiri polisi hawajafanya kazi yao vya kutosha, kuwaelimisha raia pia ni duty yao.
 
Nimefatilia hapa nchi zote wanauana sana tu alaf tanzania ni kwa uchache sana
 
ukweli ni kwamba, watu wasaona kama mauaji yamezidi sasaivi kwasababu waandishi wa habari wamepublicise sana. kuna mauaji ya kutisha yamekuwa yakifanyika kila siku lakini hayaandikwi.
 
Na naona ni tatizo sana kwa saikologia ya wananchi vipi? Waache kuyatangaza labda itakuwa vyema zaidi? Kwako MKUU
 
nafikiri kutangaza ni bora ili jamii iamke zaidi kufundisha watoto malezo bora na watu waone kuua sio kitu kizuri. kuna maeneo mengi sana nchini ndugu wanauana kila siku lakini kwasababu yalikuwa hayatangazwi basi yameishia hapo. ukienda mahakamani kuna kesi za mauaji mamia, yule msemaji wa polisi jana alisema singida peke yake kesi za mauaji ambazo zitaanza kusikilizwa muda wowote ni 90 (that means watu 90 au zaidi walishauawa), mbeya ni 200 na zaidi (which means zaidi ya watu hao waliuawa), mwanza, mtwara etc. kesi za mauaji ni maelfu, which means kuna maelfu ya watu wameuawa. sasa kwasababu mauaji haya ya juzi yalifanywa na watoto (yule mwanajeshi mbeya), na yule manka kilimanjaro, na hao polisi wezi mtwara, basi watu wanaona kama mauaji hayakuwepo ila sasaivi ndio yamekithiri. ajabu yake hadi viongozi wakubwa wanaamini kuwa sasaivi mauaji yamezidi. wanaojua ukweli na trend yake ni mapolisi na watu wa mahakamani.

hata hivyo, waandishi wa habari naamni wakitangaza wanasaidia awareness. waendelee tu kutangaza ila wasiwe selective, wakatangaze kila mauaji kama ilivyo nchi za wenzetu, marekani yeyote anayeuawa lazima atrend.
 
Nzuri kweli kutangaza kwa mtazamo wangu naona jamii (wananchi) kama hawajajiandaa kupokea taarifa kisaikologia yaani wangeliandaliwa akili zao kwanza then waanze kupewa matangazo ya vifo na mauaji mbali mbali maana inasaidia tu kupata taarifa lakini hawajifunzi lolote.. kwa upande wangu MKUU
 
Hakuna maadili.
Hiki ndo chanzo kikuu yaan watu wanashindwa kuenenda kwenye maadili
 
Na maadili mazuri hasa tunayapata wapi? MKUU kwenye.. Dini, familia au mashuleni au yanatokea tokea tu
 
Back
Top Bottom