Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kumekuwa na matukio mengi ya watu kujiua either kwa kunywa sumu , kujinyonga, kujichoma kisu au kujipiga risasi...
Tulio hai hatujui ukali wa maumivu wakati wa kukata roho. Hali kadhalika hatujui huko tuendako kukoje. Hata siri ya kaburi hatuijui. Wengi wanahisi, kukisia kutokana na vitabu mbalimbali vya dini, wanasaikolojia, wanasayansi n.k!
Mtu anajua kabisa nikijipiga risasi, napoteza maisha lakini anafanya hivyo.
Haogopi maumivu? Haogopi adhabu ya kifo? Haogopi ahera?!
Mtu huyo anaacha familia, watoto, ndugu, jamaa, mali n.k....lakini anajimaliza mwenyewe.
Najua hapa wapo wataalamu wengi, ni hali gani humtokea mtu katika dakika za mwisho mpaka anaamua kujiua??
Kupata HIV,mikopo,jobless na ugumu wa maisha.Mental health ,Depression ,Kuyumba kiuchumi+Stress za Mubebez.
Kupata HIV,mikopo,jobless na ugumu wa maisha.
Deppression is the matter mkuu, kuna muda mtu anakua na mawazo kiasi kwamba akili yake haisomi anashindwa kukontrol feelings na emotions zake kabisa, kinachobaki labda umkimbilie mungu yeye ndo akusaidie ila mostly wakifika hatua hii hua na mawazo ya kujiua japo yanakua kwa mbali ila kama mtu moyo wake ni fhaifu sana ndo inapelekea kwenda kujitundika.Kumekuwa na matukio mengi ya watu kujiua either kwa kunywa sumu , kujinyonga, kujichoma kisu au kujipiga risasi...
Tulio hai hatujui ukali wa maumivu wakati wa kukata roho. Hali kadhalika hatujui huko tuendako kukoje. Hata siri ya kaburi hatuijui. Wengi wanahisi, kukisia kutokana na vitabu mbalimbali vya dini, wanasaikolojia, wanasayansi n.k!
Mtu anajua kabisa nikijipiga risasi, napoteza maisha lakini anafanya hivyo.
Haogopi maumivu? Haogopi adhabu ya kifo? Haogopi ahera?!
Mtu huyo anaacha familia, watoto, ndugu, jamaa, mali n.k....lakini anajimaliza mwenyewe.
Najua hapa wapo wataalamu wengi, ni hali gani humtokea mtu katika dakika za mwisho mpaka anaamua kujiua??
Aisee hatari sanaDeppression is the matter mkuu, kuna muda mtu anakua na mawazo kiasi kwamba akili yake haisomi anashindwa kukontrol feelings na emotions zake kabisa, kinachobaki labda umkimbilie mungu yeye ndo akusaidie ila mostly wakifika hatua hii hua na mawazo ya kujiua japo yanakua kwa mbali ila kama mtu moyo wake ni fhaifu sana ndo inapelekea kwenda kujitundika.