Sababu za kuvunja uhusiano

Habari wana jamvi, naomba kushare na nyie hiv ni sababu zip za msingi zinazoweza pelekea kuvunja uhusiano eidha muwe kwny level ya upenz/uchumba/ndoa.
Usaliti,usaliti,usaliti
 
Cha kwanza Kikubwa ni Uongo
Cha pili Usaliti
 
usaliti, kuwa msiri kupitiliza na uongo wa mara kwa mara. binafsi siwezi kuendelea kimahusiano na mwanamke mwenye tabia hizo labda abadilike!!
Me too brother cpend ujinga huo.. Nilikapigachini kadem flan Kwa tabia hizo
 
Kupenda pesa kupindukia na kufake maisha.
 
Lbd ungemshrksha b4 angekupa yy hyo pesa
 
Me nilikuwa napiga vitano kumbe alikotoka kazoea kimoja...basi akakimbia
 
Umbeaumbea siupendi kabisa, naona hadi kichefuchefu, utasikia tu nikuambie mr leo mtu fulani kafanya hivi..... Yaani shida mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…