Kufuatiilia nyendo za mpenzi wako ni kawaida ila isipite kiasi na si dhambi hasa pale unapoona viashiria ambavyo siyo, nisimfuatilie ili NIKUTE NDEGE KAPULULIWA MANYOYA?Ukishaanza kufatilia yasiyokuhusu unaaanza kuweka doubts Na ule uaminifu unalika Kila uchwao mwisho inafikia hatua mnagombana Na kuachana kwa mambo ya ajabu wakati ungetulia Bila kumfatilia yasingekukuta tunayaona yapo kushika sim za wenza wenu kufatilia kila msg hupelekea huko
Afadhali umesema isipite kiasi hapo nimekwelewaKufuatiilia nyendo za mpenzi wako ni kawaida ila isipite kiasi na si dhambi hasa pale unapoona viashiria ambavyo siyo, nisimfuatilie ili NIKUTE NDEGE KAPULULIWA MANYOYA?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] me niliachwa kisa mpole, mapenzi haya hayana formulaUsaliti
Uongo
😀😀😀😀😀Mbona umetaja nyingi hivyo, wenzio tutaje nini sasa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] me niliachwa kisa mpole, mapenzi hayana formularHabari wana jamvi, naomba kushare na nyie hiv ni sababu zip za msingi zinazoweza pelekea kuvunja uhusiano eidha muwe kwny level ya upenz/uchumba/ndoa.
We Me au ke mkuuMim ndo mleta uzi, mim nmeachwa sababu nlmwambia kuna hela naitgmea kuipata sku ikitoka ntaiweka mezan tupange tjue tunaifanyia nn, akaulza unaitoa wapi nkamwambia nmeomba mkopo bank, same point akamind vibaya et why sjamshriksha b4 (tulkuw bdo level ya uchumba) kwa hyo sababu kabrokeUP.
Hiyo ipo humo kwenye hivyo viwili.[emoji385] [emoji385] mbona umesahau hiyo?
Kila mtu ana sababu zake, kuna wengine hata uwasaliti wamo tu. So tunatofautiana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] me niliachwa kisa mpole, mapenzi haya hayana formula
Me ni mmoja wapo...Kila mtu ana sababu zake, kuna wengine hata uwasaliti wamo tu. So tunatofautiana.
Duu, nmekuja PMKukumbushia mambo ya nyuma kila mkipishana kauli...Kutaka tuwe 50% 50%( Basi ningemuoa bure, maana alivokua ana force nijitambulishe, nitoe mahari na kufunga ndoa mpaka nikamuonea huruma nikafanya yote , ila sasa najuta maana imekua familia ya kambare kila mtu ana ndevu)...Na ma group yao kwenye mitandao ya kijamii nowdays sijui wanajiita"women with visions, wanawake huru n.k" wanadanganyana humo.kwa kifupi ambao hamjaoa jipangeni sana.
uongo kivipi unaweza fafanua kidogoUsaliti
Uongo