Sababu za kuvunja uhusiano

Sababu za kuvunja uhusiano

kinehe

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
205
Reaction score
198
Habari wana jamvi, naomba kushare na nyie hiv ni sababu zip za msingi zinazoweza pelekea kuvunja uhusiano eidha muwe kwny level ya upenz/uchumba/ndoa.
 
Atoto inategemea na uwongo Gani Ila mimi binafsi simpi NAFASI mpenzi wangu ya kunidanganya na kweli uwongo siupendi Ila mimi ni muongo.. Sasa umuache mpenzi kisa uwongo Hapana Kwa kweli.. Usaliti SAWA tunaachana
 
Na Usaliti nitakuacha kama tuko level za NDOA Ila level za upenzi nitapotezea
 
Kwa kweli to be honest hii sijaielewa!!.....Kwangu mimi imejaa ukakasi,walakini,machale,hofu na wasiwasi!!
Ukishaanza kufatilia yasiyokuhusu unaaanza kuweka doubts Na ule uaminifu unalika Kila uchwao mwisho inafikia hatua mnagombana Na kuachana kwa mambo ya ajabu wakati ungetulia Bila kumfatilia yasingekukuta tunayaona yapo kushika sim za wenza wenu kufatilia kila msg hupelekea huko
 
Wewe mwanamke kuchat na wanaume wengine na hatimae kuishia kutongozana huko whatsapp,facebook,SMS,badoo,hi5 e.t.c hainihusu???
 
Back
Top Bottom