Sababu za kutomwamini Dr.Kikwete.

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura.
2. Ameingia Ikulu 2005 kwa fedha za EPA.
3. Amekiuka katiba kwa kutetea ufisadi/mafisadi.
4. Uteuzi wake wa nafasi mbalimbali ni kwa uswaiba.
5. Serikali yake ni ya anasa(safari za nje,ukubwa wa serikali).
6. Ameshindwa kutekeleza ahadi zake za 2005.
7. Aliwachafua wana CCM wenzake katika kinyang'anyiro cha 2005.
8. Kampeni zake zinafanywa kifamilia.
WEWE UNAMUONA JE?
 
...
9. Mgombea Mwenza, ndio yule yule aliyekuwa akitetea Komando, Dr Salmin Amour avunje Katiba kwa kugombea Urais wa ZNZ kwa awamu ya tatu, uzuri kwa wakati ule Nyerere alikuwepo!! Sasa leo yuko kwenye "familia" yenye UCHU wa madaraka, si ajabu akatetea Katiba ivunjwe tena!
 
10. Amekiri kutojua kwa nini nchi yetu ni masikini

11. Aliwatukana wafanyakazi kwa kuwaita mbayuwayu

12. Hana haiba wala uwezo wa kuwafikia marais wa nchi zingine za Afrika Mashariki

13. Hana uchungu na maendeleo ya nchi yetu

14. Hataki kuulizwa maswali ktk midahalo au kampeni za kisasa

15. Ana upendeleo kwa maswahiba wake na visasi kwa asiowapenda
16. Hana legacy yeyote nzuri atakayoacha - atabaki kuwa rais bomu kuliko wote waliowahi kuongoza Tanzania
 
No.15 na 16 zimenikuna.
 
17. Sina imani na afya yake kwa kuwa ameshaanguka ghafla mara nne kwa kuelezwa sababu tofauti.
 
18.Kiwango Duni(Upstairs)
19.Anaruka ruka kama ndama, hamna kitu hata kimoja alichoweza kukomaa nacho mpaka mwisho na kikaonekana kama president kagame.
20.Useriaz mdogo hasa kwenye issue seriaz
 
18.Wanamtandao walimuingiza Ikulu kwa makubaliano kuwa aongoze kwa temu moja tu kwa kuwa kuna waliokuwa nyuma yake waliolengwa waingie Ikulu kwa mgongo wake.
 
1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura.
2. Ameingia Ikulu 2005 kwa fedha za EPA.
3. Amekiuka katiba kwa kutetea ufisadi/mafisadi.
4. Uteuzi wake wa nafasi mbalimbali ni kwa uswaiba.
5. Serikali yake ni ya anasa(safari za nje,ukubwa wa serikali).
6. Ameshindwa kutekeleza ahadi zake za 2005.
7. Aliwachafua wana CCM wenzake katika kinyang'anyiro cha 2005.
8. Kampeni zake zinafanywa kifamilia.
WEWE UNAMUONA JE?
9. Anafurahia kutambulishwa kuwa ni Dr. wakati hajawahi kuingia darasani kusomea Phd.
10. Hajui kwa nini nchi hii ni maskini pamoja na kuwa amekuwa kwenye uongozi kwa miaka zaidi ya ishirini.
11. Anatumia mabilioni ya fedha za serikali kusafiri nje ya nchi kwenda kubembea na kunywa chai na Obama kisha anarudi na ahadi za vyandarua
12. Anawapigia mbu muziki wa bongo fleva kisha anatuambia kuwa anapambana nao.
13. Amegawa mabilioni ya pesa akidai kuwa ameyasambaza mikoani lakini mpaka leo hatujui nani alipatiwa pesa hizo na kwa shughuli ipi?
14. Ameasisi kashfa ya Richmond na kuitia hasara nchi kwa mabilioni ya shilingi.
15. Anapita akiwanadi watuhimiwa wa usifadi kuwa ni viongozi wachapa kazi na wale wenye kesi kuwa ni safi
16. Alihafifisha vita dhidi ya ufisadi kwa kufananisha kujiuzulu kwa Edward Lowassa na ajali ya kisiasa. Kwa uelewa wake yeye ufisadi ni sehemu ya mchezo wa siasa.
17. Anawafahamu majambazi, wauza madawa ya kulevya, wala rushwa, mafisad, wezi wa mali za umma lakini badala ya kuwachukulia hatua yeye ama anawapa muda wa kujirekebisha au anawaomba warudishe pesa kimyakimya kisha wanaachiwa huru.
18. Yeye ni mtu wa kwanza kwenye orodha ya mafisadi iliyotolew na Dr. Slaa kwenye viwanja vya Mwembe yanga. Hajawahi kukanusha na hivyo hatuna sababu ya kuamini kuwa ile orodha haikuwa sahihi.
-------
 
1. Ameingia Ikulu 2005 kwa wizi wa kura.
2. Ameingia Ikulu 2005 kwa fedha za EPA.
3. Amekiuka katiba kwa kutetea ufisadi/mafisadi.
4. Uteuzi wake wa nafasi mbalimbali ni kwa uswaiba.
5. Serikali yake ni ya anasa(safari za nje,ukubwa wa serikali).
6. Ameshindwa kutekeleza ahadi zake za 2005.
7. Aliwachafua wana CCM wenzake katika kinyang'anyiro cha 2005.
8. Kampeni zake zinafanywa kifamilia.
WEWE UNAMUONA JE?

9. Mgonjwa, ili hali anaficha.
10. Kampeni za CCM ageuza kuwa BMW (Baba, Mama na Watoto)
 
1.Katika bara zima la Africa hakuna rais mwenye sura nzuri kama yeye,resulting poor and unequal desion making

2. Ameleta majambazi ktk secta ya madini, mwishowe tunabaki na mashimo na umaskini

3. Kaongeza maswaiba wake wasio na elimu ktk nyandifa nyingi za serikali

If a tree can't bear fruits within 10 years cut it down and destroy with fire 31-oct-2010!

WE NEED SERIOUS CHANGES TO TRANSFORM Tanzanian LIVES!
 
Pia kikwete haaminiki kwa sababu:
1. Alitutukana wafanyakazi wakati wa sakata la kudai haki za wafanyakazi-hivyo si mtetezi wa wafanyakazi
2. Anataka kukimilikisha chama kwa familia yake kupitia kampeni zake za BMW
3. Hajaona haya kuwadanganya watanzania kuwa Mramba, Rostam Azizi, Lowassa na mafisadi wengine ni watu safi na wanafaa kufanya naye kazi
4. Simwamini kwasababu atawarudisha mafisadi kwenye uwaziri.
4. Anaogopa wasomi ndiyo maana amewapiga vita wasishiriki uchaguzi 2010
Kwa ujumla simwamini kabisa
Je wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom