UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
- Thread starter
- #21
Kama ni hivyo inabidi urudie pre form one.....alafu mwakani tutakuunganisha pale JANGWANI au KISUTU...mwenyewe utachagua....sawa mkuu....????
sawa brother
Kama ni hivyo inabidi urudie pre form one.....alafu mwakani tutakuunganisha pale JANGWANI au KISUTU...mwenyewe utachagua....sawa mkuu....????
hahahaa shangaa na wewe my dia...hapo hawara amenunuliwa gari ameenda baa amenywesha bia marafiki zake na mabaamedi af nyumbani anarudi na kijichupi cha 2000 pyeeee
me sijambo kakaake mie....miss you....
huu uandishi wataka moyo kusoma hiyo mada
Asee,kwa hiyo kidume usipopewa asante unachepuka?Natafakari bado mkuu.
Aliyezoea kuchepuka kazoea tu hata umfanyie nn.
Aliyezoea kuchepuka kazoea tu hata umfanyie nn.
Hahahaa shangaa na wewe my dia...hapo hawara amenunuliwa gari ameenda baa amenywesha bia marafiki zake na mabaamedi af nyumbani anarudi na kijichupi cha 2000 pyeeee
lambda wa zamani ila c wasasa kizazi hiki kina watoto wa kila namnaukimbana kwa malove hachepuki hykmama
huu uandishi wataka moyo kusoma hiyo mada
Mbona inasomeka vizuri tu,au inakugusa....