CC: mindpower.....
.....Leo Simba wa Yuda Anaunguruma Jijini Arusha
Mfalme wa Arusha....Karibuni Makamanda wote Ngarenaro Shule ya Msingi
Hua mnaamkiaga wapi? Thanks kwa pm kupiga marufuku viloba watu wanamna ya kwako nijanga lakitaifahaa haa kwa kiasi fulani mtoa mada uko sahihi japo utabezwa. lema kwa namna moja ama nyingine kapoteza dira.....
Tatizo katoka lupango kawa kama nyuki wa mashineni sijui sumu kapeleka wap,Acha upumbavu moose Post ulitaka lema afanyaje? Ameingia ndani Lema miezi minne ninyi mnakula bata. Hakuna cha! Bavita wala wafuasi wowote mliojaribu hata kusubutu kuandamana au kulani kwa namna yoyote Ndo kwanza mlikuwa mnakula bata majumbani na wake zenu Huku mwenzenu akisota. Katoka mnaleta unafiki wenu afanyaje lema ulitaka atukane tena aende ndani mbona ninyi hamuthubutu? Kwani ninyi hamsitahili kukijenga chama hadi Lema awape kiki? Acheni umbeya wenu kama selo ni kuzuri thubutu wewe kwenda fanya fyoko uende wakakupoteze uacha wanao kwa mambo ya kutafuta kiki. Lema Upo vizuri keep it on. Panapo stahili kuongea atasema cyo kwa kufundisha aseme Ujinga wako ili akikamatwa umcheke.
Mungu akurehemu akufungue ufahamu wakoNdugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!
Sababu:
1. Kutoka maabusu uchafuni na kujiamulia mwenyewe kuwasamehe wabaya wake bila ridhaa ya sisi watanzania, as if alikuwa anaumia pekee yake na familia yake akiwa maabusu uchafuni.
2. Kutoka na kuingia moja kwa moja kwenye mambo ya kiroho as if alikuwa maabusu wa kiroho, sio wa kisiasa.
Hapa bavicha wamewekwa njia panda
CDM njia panda
Wanajimbo la Arusha njia panda
Mpaka na wapinzani wake wamewekwa mdomo wazi.
3. Kutoka uchafuni na kusema hana kinyongo na mtu as if mle ndani maabusu alikuwa paradiso au casino.
Hapa sasa kapunguza mzuka wa makanda wapinaji, katukatisha tamaa,
Makomandoo wake wameugua ghafla
4. Kutoka na kumuandikia rais walaka badala kuitisha mkutano arusha mjini ausome mbele ya makamanda, rais ausikie tu magezetini na redioni
Kumpelekea walaka rais ni sawa na kujisalmisha kwa wapinzani wake (CCM)
5. Kutoka na kuanza kuhubiri hapa kawapoteza makamanda wapagani na waislam kwani wamedhani ni mambo ya kikristo (kiroho) swala la lema. Umaarufu umepungua
6. Kutoka na kumruhusu wema nyumbani kwake imempunguzia umaarufu kwani watanzania wengi wanadhani ataanza kupiga vyombo!
7.hivyo kutoka kwa lema gerezani kwa mpunguzia umaarufu toka makundi mbalimbali
8. Kwa sababu hizo ametoa mwanya kwa CCM kuchukua jimbo asubuhi tu kabla ya mbwa kwenda msalani
Ndugu wana jf nimefanya utaft binafsi nimegundua umaarufu wa wa lema umetoeka ghafla baada ya kutoka gerezani!

Hili sina uhakika kama na ww unasema unachoamin unless iwe ni akil isiokua yakoLema akili kubwa huwezi kumlinganisha na sizonje
Lema kwa sasa sawa na simba kibogoyo,Kama Lema atapoteza ramani wananchi tutamsaidia kuitafuta na kumkabidhi kama tulivyohuzunika naye alipokuwa gerezani baada ya kutoka gerezani tulifurahi pamoja na tutasonga mbele pamoja kwa kutumia ramani mpya.
Miezi 4 Ni cha Mtoto Mandela aliswekwa Lupango miaka 30 baada ya kutoka akatoa msamaha kwa wabaya wake na bado alikuja kuwa kiongozi wa wabaya wake.Lema kwa sasa sawa na simba kibogoyo,
Sio kamanda tena, usweke ndani miezi minne utoke usemi huna adui hayo si mambo ya ajabu kabsa
Bora angesema mateso ya aliyo yapata anawachia watanzania na wakazi wa arusha wa wape adabu wavunja haki wote nchn
Ningempa tano, ila kwa sasa hana risasi ana mati tu
Sasa kama Time will tell, why are you telling??2020 jimbo la arusha mjini ni mali ya ccm asubuhi na mapemaa.
Mmaaana kama uongozi wenyewe ni huu wa kutumia ndoto? Time will tell.
Aache siasa za kujfcha kwenye kiroho anatupoteza!Uchafuni ni wapi?
Kwa akili zako ulitaka atangulize siasa badala ya Mungu?
Kwa hiyo wewe bichwa lako linaaamurisha Lema awe mtu wa visasi na kutokusamehe?
Wewe ndiye ulimtuma afanye kilichompeleka polisi, na kwa ajili hiyo unadai awe anakuomba ruhusa wewe?
Kweli wewe ni zero.
Umaarufu wa Lema umepungua kwa nani kama siyo kwa vibaka kama wewe?
.....Unjoo leo kuanzia saa nane mchana kwenye uwanja wa Ngarenaro ushuhudie mwenyewe usikubali kuadithiwa. Lumumba mnaweweseka sana
CCM Arusha mnapoteza pesa zenu bure na mtaendelea kupoteza.2020 jimbo la arusha mjini ni mali ya ccm asubuhi na mapemaa.
Mmaaana kama uongozi wenyewe ni huu wa kutumia ndoto? Time will tell.