Mkuu, wala usistuke yeye kujiita mtafiti; hata FUTUHI wa start TV wanae mtafiti pia so usishangae kaka.Maccm mna matatizo MAKUBWA sana kwenye akili zenu! Unaweza kutueleza Hypothesis ya Utafiti wako kwa kifupi?
Unatumia maneno 'tume .,......' kumaanisha watu ambamo ndani yake nawe umo, so nawe umejifanyia Utafiti, kweli?
Sometimes maccm mnatapisha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Dah! Asante sana!Mkuu, wala usistuke yeye kujiita mtafiti; hata FUTUHI wa start TV wanae mtafiti pia so usishangae kaka.