Sababu ya Mbowe kutofika polisi leo eti yuko nje ya Dar!

ninayo mkuu
Then jaribu sana kutoonesha chuki zako mkuu. Kwa faida yako na ya familia yako. Tuwe na mioyo ya Amani mkuu. Kwann umchukie mtu kiasi hiki sababu ya siasa tu mkuu? Siasa tu hizi jamani, kuwa Chadema au CCM hakufanyi tuwe maadui.

Tanguliza utu mkuu, kumbuka kuna ubinadamu Tunashea kisha kuna uTanzania Tunashea alafu ndio vyama ndugu yangu.

Si kwa CCM wala Chadema, chuki si sawa!!
 
Hakuna thread au post yangu iliyowahi kuonesha chuki dhidi ya mtu...au aghalabu hoja zake.Inawezekana lugha yangu ni kali (si ya kutusi)ninapopangua hoja au kuanzisha hoja kinzani dhidi ya wale tunaotofautiana nao approach za jinsi gani Taifa listawi.
 
Tulia kabla ya kunijibu mkuu kwa kuwa huna uwezo wa kutoa jibu la haraka!Usiniige mimi katika kufanya quick responce kwa kuwa elimu niliyonayo ilinifanya niwe na uwezo mkubwa wa kurepond quickly with a correct responce!

Kingereza chako kina matege samahani lakini
 
Back
Top Bottom