Sababu ya Mbowe kutofika polisi leo eti yuko nje ya Dar!

Next time polisi isiruhusu mwanasiasa aliyeitisha maandamano bila kibali atoke eneo la tukio akiwa na miguu miwili ndiyo itakuwa solution maanake hivi sasa kila mpenda sifa anatamani hili tukio lijirudie ili kiendelee kuwepo cha kuongea.
 
Tulia kabla ya kunijibu mkuu kwa kuwa huna uwezo wa kutoa jibu la haraka!Usiniige mimi katika kufanya quick responce kwa kuwa elimu niliyonayo ilinifanya niwe na uwezo mkubwa wa kurepond quickly with a correct responce!
Hiyo quick respond mbona iko poor...!!!
 
Magonjwa ya afya ya akili ni janga la bara la Afrika.Eti Mbowe anavunja amani,amani gani?Hii inafanana na daktari aliyemuovadozi dawa mgonjwa wa malaria na hatimae akafa.Huyo daktari aliyechanganyikiwa alipoona mgonjwa wake ameshakufa kwa uzembe wake,akaanza kuwaambia ndugu wa marehemu,"jamani mgonjwa wenu asingekufa endapo asingeng'atwa na mbu aambukizaye malaria.Hawa mbu ni hatari sana,lazima tuwakabili ipasavyo" Hii ilikuwa ni kauli ya kipumbavu kabisa kuwahi kutokea,maana yeye alidhani anaowaeleza upumbavu huo ni watoto wa chekechea,amesahau kabisa kuwa anaongea na watu wazima ambao wengine wamepitia fani hiyohiyo.Kwakuwa ndugu walishajuwa kuwa tatizo alimuovadozi tena ikaja ikathibitishwa na daktari mkuu mwenye akili timamu,basi kilichoendelea hapo ni daktari huyo kufunguliwa kesi.
 
Tofauti ya Tanzania na Kenya siyo elimu,bali wakenya waliowengi hutumia zaidi logic kuliko watanzania wa aina ya jamaa huyu ambao hutumia fikra za mapokeo badala ya zile za kiyakinifu.Na watu hawa ndiyo wale wakiulizwa Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani utapata jibu la ajabu linaloendana na mapokeo.
 
Dharau hii kwa jeshi la polisi sio ya kupuuzwa hata kidogo.
Dharau ya namna hii ndio inayofanya matukio ya wanasiasa kuharibu amani kadri wapendavyo na kupelekea maafa ya wasio na hatia kutokea.

Siamini ni kivipi polisi wanaweza kukuacha raia wa kawaida ambaye umehusika kwenye uhalifu eti kwa sababu tu upo nje ya eneo la la tukio.

Kama Mbowe yuko nchini basi angeweza kujisalimisha katika kituo cha polisi kilicho karibu naye kwa mahojiano au kutoa udhuru.

Kiburi hiki na dharau kwa jeshi letu la polisi kinatoka wapi?

Dharau hizi kwa jeshi la polisi na insensitivity inayooneshwa na viongozi wa Chadema inaashiria nini ?

leo hii au muda huu jeshi la polisi likaamua kutumia nguvu kumnyakua Mbowe na Mwalimu popote walipo nchini litakuwa linatenda kosa?

Katibu Mashinji anasemekana kwenda Marekani kwa shughuli za kikazi...je haoni umuhimu wa janga kubwa la kitaifa lililosababishwa na maamuzi ya ghafla ya viongozi wa chama na yasio na baraka za wanachama wa Chadema ambayo yamepelekea mauti ya binti Akwilini?

Kwa nini Chama kikubwa kama Chadema kinapeleka mambo kihuni namna hii?

Kwa nini Chadema inaprovoke Serikali kwa nia ya kujijenga kisiasa?

Kwa nini viongozi hawa wa Chadema wasimtendee haki Akwilina kwa kwenda kuhojiwa na kueleza ukweli wa kilichotokea?

Mimi kama mwananchi sitajali ni kipi kina mbowe na wenzao watasema kwa jeshi la polisi bali nitapata amani kwa wao kuusema ukweli wa waliyotokea na kusaidia uchunguzi wa swala hili.
Kukimbia kwao kunamaanisha kuwa justice au haki isitendeke.

**************************************************

SOMA HAPA CHINI KUHUSU UTETEZI WA CHADEMA....



pic+chadema%255C.jpg



Kwa ufupi
  • Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho-Zanzibar, Salum Mwalimu ni kati ya viongozi saba wa Chadema waliopaswa kufika Kituo Kikuu cha Polisi leo Februari 20 lakini hawakufika.
By Ibrahim Yamola, Mwananchi iyamola@mwananchi.co.tz

Chadema kimetoa sababu za viongozi wake wakuu watatu akiwamo Freeman Mbowe zilizowafanya wasiitikie wito wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho-Zanzibar, Salum Mwalimu ni kati ya viongozi saba wa Chadema waliopaswa kufika Kituo Kikuu cha Polisi leo Februari 20 lakini hawakufika.

Akizungumza leo Februari 20, 2018 na Mwananchi, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema wakati wanapokea barua ya wito wa polisi kwa viongozi hao kufika kituoni wengine walikuwa wametawanyika.

“Mfano, Salum Mwalimu jana alitangulia Mafinga (Iringa) kwa ajili ya kuongoza mazishi ya kiongozi wetu Daniel John hivyo kwa wito tulipokea asingeweza kufika sawa na Mwenyekiti (Mbowe) alikuwa nje ya Dar es Salaam,” amesema Mrema na kuongeza,

“Katibu Mkuu (Dk Mashinji) wakati tunapokea wito yeye alikuwa safarini kwenda Marekani kikazi na alisafiri saa 10 jioni akipita ‘airport’ ya Dar es Salaam, kwa hiyo kama wangetoa taarifa mapema wangeweza wao wenye kumdaka pale pale ‘airport.”

Mrema amesema viongozi hao watakaporejea kabla ya Jumanne ya Februari 27, 2018 wanayotakiwa kuripoti na viongozi wengine watakwenda kuitikia wito huo.

Viongozi walioripoti leo kituoni hapo na kuachiwa kwa dhamana ni, Naibu Katibu Mkuu- Bara, John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee, Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti, John Heche na Ester Matiko ambaye ni Mweka Hazina wa Baraza la Wanawake Bawacha.


Chanzo:Mwananchi
Mbowe alikuwa busy akiandaa bajeti ya mazishi ya Aquiline
 
Revenge is a dish best served cold!
Liweke hili akilini mwako....ipo siku utalia na kusaga meno kama si wewe basi watoto wako au wajukuu zako..
Root ya haya yote imeanzia kwa mkurugenzi na NEC ambao ni makada watiifu wa CCM.
Don't turn a blind eye!
Terror will be answered by More terror!
 
Yani hata hujui Jeshi la Police linavyofanya kazi, mimi nilishawahi kuitwa Police, kwa kitu serious cha kawaida, cha missunderstanding, niliitwa Dar, and then sikupata taarifa mpaka nilipokuwa safari naenda Arusha, wakanipigia, nikaongea nao vizuri, nikawapa ratiba yangu nikawaambia nitakuja, and they said oka!

Kwa tittle ya mtu kama Mbowe ambaye hawezi kimbia kwa namana yeyote hakuna namna ambayo hawawezi elewa, hapa hakuna vita, kwani hao walioenda walikaa hata 1 hour? si walienda, sasa wewe una tatizo gani? Jeshi la polisi haliwezi mnyakua sababu hakuna sababu kufanya hivyo!

Kama unajua sana kulifundisha jeshi la police si ungejitahidi hata upate division four wakati wa mthihani wako mwaka 1994 ili ujiunge nalo? maana ulipataga zero! na hukupata hiyo fursa, NI WAKATI SASA UFICHE UJINGA WAKO, usiuweke hadharani kwa maana ni fedheha na aibu.
Ha ha ha ....ningepata DIV FOUR ningekuwa mwenyekiti wa Chadema.
 
Tulia kabla ya kunijibu mkuu kwa kuwa huna uwezo wa kutoa jibu la haraka!Usiniige mimi katika kufanya quick responce kwa kuwa elimu niliyonayo ilinifanya niwe na uwezo mkubwa wa kurepond quickly with a correct responce!
Kurespond = kurepond? Anyway, who are you katika shauri hilo? Lengo lako ni lipi? Kuona wameripoti polisi kwa kuitikia wito tu basi na sio zaidi ya hilo? Au ulipanga kuwafanyia nini wakiwa kituo cha polisi?
Waliowaita wanajua kuwa wamefanya mistake ya kuchelewesha barua za wito ili kuwatafutia kosa la kutii wito na wakifika wakose dhamana siyo? Mbona kinakuuma sana kwa kutokuonekana kwao?
 
mimi sio mwandishi nimekuleta hoja baada ya kumsoma mwandishi...onesha bias kama ipo!
Umeileta kinafiki na inakuuma mno kuona kuwa wameeuka kiunzi ulichotega! Hivi mbona una tabia za kishetani kushangilia madhila wayapatayo wengine?
Jifunze kusikitika pamoja na wanaotaabika mjinga wewe!
 
Dada vipi mbna unapenda kumtaja mbowe utakua mzutiii wko unataka umtunuku mana lumumba wengi ni kuku watamu
 
Back
Top Bottom