Atakuwa na gubu huyu mtu sio bureJuz badala Ampongeze Msaidiz wake kwa kufanikisha Marufuku ya mifuko ya plastiki kwa ustadi mkubwa.....
Akaanza kujisifia kua alitoa maelekezo tangu mwaka jana tena akalaumu na kukosoa kua wizara wamechelewa sana....!
NI KWELI ALISHAWAHI kumtengua athuman diwani then akamteua tena cheo kingineNi kweli... LEO UKIMTENGUA ULIYEMTEUA JANA, unachofanya ni kutuonyesha HOW MUCH jana ulikosea.... na watenguliwaji wanapozidi kuwa wengi, unatuonyesha umekosea mara ngapi na ukubwa makosa upoje....
SI kila aliyetenguliwa alikosea, wengine walikuwa wanatekereza maagizo yake, lakini alipoona yanaleta NEGATIVE IMPACT akaamua kuwatoa SADAKA YA KUTENGULIWA
Mzee wetu alipotea sana. Tulimmiss sawa BA Nyani Ngabu, sijui ukimya wake una nini. Rejea Taf tunamiss comment zako na kiingereza chako cha ukweli sanaMKUU TUPATUPA MZEE WA EXPANSION JPINTS UPO KIMYAA SANA ULIPATWA NA NINI??
Ingekuwa Marekani tayari walishamtaka apimwe akili(sanity) kama TrumpNi kweli... LEO UKIMTENGUA ULIYEMTEUA JANA, unachofanya ni kutuonyesha HOW MUCH jana ulikosea.... na watenguliwaji wanapozidi kuwa wengi, unatuonyesha umekosea mara ngapi na ukubwa makosa upoje....
SI kila aliyetenguliwa alikosea, wengine walikuwa wanatekereza maagizo yake, lakini alipoona yanaleta NEGATIVE IMPACT akaamua kuwatoa SADAKA YA KUTENGULIWA
ACHA UPUUZI WEWE NANI MALENDO KTK UTAWAL HUU?Naweza kusema kuwa bado tu hawajamjua anataka nini, Rais anataka kiongozi mzarendo na aliyejikana kwa masrahi mapana ya taifa na si mtu anayewaza masrahi yake huku akijua yeye ni kiongozi wa umma
Kuwa kiongozi wa umma ni kujitoa kwa ajili ya wananchi na si kuwaza utakuwa umemiliki nini baada ya kustaafu au kumaliza muda wako wa uongozi.
Kuwa kiongozi si kupata fursa ya kukufanya uwe tajili baali uwe daraja la kuwavusha wananchi na taifa kwa ujumla kufikia malengo
Brother, hizi ndo akili ambazo zinahitajika humu jamii forum. Simply "THE GREAT THINKERS"Ni kweli... LEO UKIMTENGUA ULIYEMTEUA JANA, unachofanya ni kutuonyesha HOW MUCH jana ulikosea.... na watenguliwaji wanapozidi kuwa wengi, unatuonyesha umekosea mara ngapi na ukubwa makosa upoje....
SI kila aliyetenguliwa alikosea, wengine walikuwa wanatekereza maagizo yake, lakini alipoona yanaleta NEGATIVE IMPACT akaamua kuwatoa SADAKA YA KUTENGULIWA
Congratulations for the best analysis ,that is exactly how jiwe is .Sawa
Sawa mkuu nimekuelewa, ila ujumbe umeeleweka.Aisee nenda hata ngumbaru ukajifunze Kiswahili fasaha
Mzalendo na sio mzarendo.
Maslahi na sio masrahi.
Tajiri na sio tajili.
Jengo ni la umma na lipo kwa maslahi ya umma na taifa kwa ujumla.Unapojenga jengo kubwa la TRA kwenye makusanyo madogo ya kodi si maslahi ya eneo lako?
Unapojenga uwanja wa ndege ambao hakutatua ndege "YA MAANA" si maslahi ya eneo utokalo?
By the way, HATA TAA ZA BARABARANI zilizojengwa enzi za uwazili, haina tofauti na hayo hapo juu
Sasa kiongozi unaona jina lenyewe Tarime one sasa unataka hiyo Mzalendo ama Maslahi azipate wapi wakati kule kanda Maalum hakuna L kuna R tu; unamuonea!!!Aisee nenda hata ngumbaru ukajifunze Kiswahili fasaha
Mzalendo na sio mzarendo.
Maslahi na sio masrahi.
Tajiri na sio tajili.
Muraaa nisaidie baana.Sasa kiongozi unaona jina lenyewe Tarime one sasa unataka hiyo Mzalendo ama Maslahi azipate wapi wakati kule kanda Maalum hakuna L kuna R tu; unamuonea!!!
Mbona husemi kitu kuhusu baadhi watendaji wa TRA wenye tabia za kijinga kubambikizia watu mizigo isiyobebeka?Kila kiumbe hujitofautisha kwa sifa zake. Vipo vunavyofahamika na kujitanabaisha kwa kutaga mayai, kuzaa, kuruka, kutambaa, kutembea na kadhalika. Sifa hutofautisha.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli, wananchi na wasaidizi/wateule wake walikuwa wakisubiri Rais ajitanabaishe. Sasa wameshamjua. Wanafuata kadiri atakavyo.
Wanamjua kuwa anapenda YEYE NA NI YEYE TU ABUNI JAMBO. Wao wanasubiri ubunifu wake. Wanamjua kuwa HACHELEWI KUKUGEUKA UKITHUBUTU KUBUNI AU KUAMUA. wasaidizi wanamngoja aseme wafanye nini.
Wasaidizi HAWAJUI KINACHOMFURAHISHA WALA KINACHOMKWAZA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO. Wanamsubiri atoe maelekezo. Wanamsubiri kila wakati aseme. Ndiyo maana makongamano hayaishi.
Wasaidizi wanamjua KUWA HASHINDWI GHAFLA NA TENA HADHARANI KUKUPANDISHA CHEO, KUKUTUMBUA/KUKUTEUA,KUKUSHUSHA AU HATA KUSEMA KWANINI AMEFANYA HIVYO. Daima wanasubiri muongozo.
Kutokana na hayo, wakubadilisha Ni YEYE. Aruhusu wasaidizi wake wabuni, waamue, waseme na watende bila kusubiri maelekezo. Wasaidizi wataenendelea kumsikiliza, kuandika maagizo na kuendelea na 'kawaida' iliyopo.
Dawa Ni kutoka kwa muundaji mwenyewe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kilosa, Morogoro)
Upo sawa mkuu umenenaKila kiumbe hujitofautisha kwa sifa zake. Vipo vunavyofahamika na kujitanabaisha kwa kutaga mayai, kuzaa, kuruka, kutambaa, kutembea na kadhalika. Sifa hutofautisha.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli, wananchi na wasaidizi/wateule wake walikuwa wakisubiri Rais ajitanabaishe. Sasa wameshamjua. Wanafuata kadiri atakavyo.
Wanamjua kuwa anapenda YEYE NA NI YEYE TU ABUNI JAMBO. Wao wanasubiri ubunifu wake. Wanamjua kuwa HACHELEWI KUKUGEUKA UKITHUBUTU KUBUNI AU KUAMUA. wasaidizi wanamngoja aseme wafanye nini.
Wasaidizi HAWAJUI KINACHOMFURAHISHA WALA KINACHOMKWAZA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO. Wanamsubiri atoe maelekezo. Wanamsubiri kila wakati aseme. Ndiyo maana makongamano hayaishi.
Wasaidizi wanamjua KUWA HASHINDWI GHAFLA NA TENA HADHARANI KUKUPANDISHA CHEO, KUKUTUMBUA/KUKUTEUA,KUKUSHUSHA AU HATA KUSEMA KWANINI AMEFANYA HIVYO. Daima wanasubiri muongozo.
Kutokana na hayo, wakubadilisha Ni YEYE. Aruhusu wasaidizi wake wabuni, waamue, waseme na watende bila kusubiri maelekezo. Wasaidizi wataenendelea kumsikiliza, kuandika maagizo na kuendelea na 'kawaida' iliyopo.
Dawa Ni kutoka kwa muundaji mwenyewe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kilosa, Morogoro)
Yeye ana sifa hizo? Mbona ushahidi wa yeye kulitia hasara taiifa upo kila mahali?Naweza kusema kuwa bado tu hawajamjua anataka nini, Rais anataka kiongozi mzarendo na aliyejikana kwa masrahi mapana ya taifa na si mtu anayewaza masrahi yake huku akijua yeye ni kiongozi wa umma
Kuwa kiongozi wa umma ni kujitoa kwa ajili ya wananchi na si kuwaza utakuwa umemiliki nini baada ya kustaafu au kumaliza muda wako wa uongozi.
Kuwa kiongozi si kupata fursa ya kukufanya uwe tajili baali uwe daraja la kuwavusha wananchi na taifa kwa ujumla kufikia malengo.