Sababu ya Lissu kushindwa uchaguzi

Ibishie na hiii barua, wewe pia weka uthibitisho wa tuhuma zako.
Kwani hio ndio inahalalisha kusapoti ushoga kwa Lissu.

Nimesema ishu ya Lissu kusapoti ushoga imempunguzia kura.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Ki ukweli, kama wewe kwa akili zako zooote, umekaa na kuwaza, ukafanya utafiti na jibu ulilopata ni kuwa Lissu angechukua nchi uchaguzi huu, walahi wewe ni KILAZA....
Uchaguzi haukuwa Huru na Haki. Period!
 
Propaganda hozi zimepitwa na wakati
hizo hasira zako eeeeh.. ugekuwa umeiweka kwenye kitambulisho cha 20K.. ungekuwa unmepaaa kufika kudeal na Brela na TRA..

bora ulie tu na uache uvivu.. jali afya yako.. imekuwa imekuwa..

Magufuli ni chagua la Wananchi..
💚💚💛💛💚💚
 
Wewe ni shoga na unakung'utwa ndio maana unajiita At Calvary pepo ya mashoga Israel

Hahahaha

Umepaniki bro! Umeamua kuingia google.

Kwa Taarifa yako io iko upande wa kiMungu. Calvary ni sehemu ambayo Bwana wetu Yesu Kristo alipokea mateso kwa ajili yetu sisi ili tuokolewe na dhambi.

Pole. Yesu akuokoe!


Pia hili jina nimelitumia kutokana na wimbo huu.
Imba pale ukihitaji faraja. Barikiwa.
Screenshot_20201031_061515.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
kuwa kibaraka wa watawala ni utumwa mbaya sana, unaishi kwa kujipendekeza mtoto wa kiume?!.
 
Niliandika humu kuwa Lissu hatofikisha asilimia ya kura za Dr Slaa wala Lowassa, yaan hata asilimia za Mrema 1995 hajafika
 
Mkuu hata kura angehesabu Lissu asingeweza kushinda.

Magufulia anawafuasi wengi saana.

Watu walidanganywa na umati wa watu.... wanasahau watu 1000 ni wachache saana kwenye uhesabu wa kura ila kwenye mkusanyiko hata watu 900 ni wengi saana.
 
Hakuna kosa kubwa kama kuwaandaa watu kupambana na polisi.Matangazo ya viongozi wengi wa chadema yalionesha kuwa kutakuwa na mapambano siku ya uchaguzi.

Jambo hili limewaogopesha watu wengi sana kwenda kupiga kura.Wengi wana kumbu kumbu mbaya na majeruhi,mateso na hadi vifo vinavyotokea kutokana na vurugu za kisiasa.Kwa vijana ambapo wanaweza kuwa walengwa zaidi kwa kuhisiwa wanaenda kupigia kura upinzani,wengi wamesita wakiamini tu mgombea wao atashinda tu kwa vile anapendwa.

Pia ccm iliwekeza kwa akina mama ambao walipita nyumba kwa nyumba hadi usiku kuomba kura.Na hawakuanzia hapo tu,bali walianzia katika kuhamasishana kwenda kuhakiki taarifa zao.Ukweli ni kwamba wengi ambao hawakuhakiki,majina yao hayakuchapwa ingawa yapo kwenye data base.

Mwisho nawashauri mbadili approach.Nendeni tu mkihamasisha watu wawapigie kura na msihamasishe kabisa vurugu.Shusheni viburi,na mu mwamini Mungu na kumtegemea yeye tu.Kama ukuta wa Yeriko ulianguka bila matumizi ya nguvu,ccm ni nini iwapo Mungu atakuwa upande wenu?

Vinginevyo tukiri kuwa Mungu amewapa kibali ccm ndio maana wamefanikiwa katika kila walilolifanya,liwe zuri ama baya.
Kwa Zanzibar kuna mambo ya kutisha.Lakini Mungu atalipa kwa wakati wake.Damu ya mtu huwa haimwagiki bure.
 
Back
Top Bottom