Sababu ya hili tatizo.....

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Kuna Mtu akiwa kwenye hali ya kupanic hasa anapokuwa kwenye chumba cha mtihani anaishia kupiga bao (kutoa mbegu za kiume) na itambidi hilo tendo liishe kwanza kabla ya kuendelea na chochote sababu huwa anaishiwa nguvu na kusikia raha wakati huo huo (ni kama akiwa anafanya tendo la ndoa). Sasa swali langu huku kupanic na kupiga bao kunaingiliana vipi!!!, Maana kawaida mtu unapiga bao wakati wa starehe sasa huyu anapiga bao wakati wa shida.
 
hizo kisaikolojia ni sex disorders na zipo nyingi maana kuna wengine wanapiga bao kwa kugusana(dunga dunga), kwa kuwaumiza wapenzi wao na wengine kwa kujiumiza( sadism na masoschism respectively), si ni tatizo la kisaikolojia labda amuone mwanasaikolojia
 
Duh!!! sasa ukishapiga bao, ukiendelea kupanic tena unapiga lingine, ukipanic tena lingine, hivyo hivyo mpaka mtihani unaisha.... Loh!!!.
 
Back
Top Bottom