Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
OMG hili lilinipita kabisa. Kwa nini mafundi wawekewe dawa? Na je fundi usipotokea siku ya uzinduzi wa jengo?Ya kweli mkuu....zipo nyingi sana wanatumia watu wasiojulikana kuwamaliza wasaliti.
Hata mafundi wanaojenga nyumba za viongozi wakubwa wakubwa nao wanauliwa sana kwenye chakula ,siku ya ufunguzi wa nyumba mafundi wanawekewa kwenye chakula ,wanaisha mmoja mmoja.
Aisee hii dunia ina mazito