Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,404
Kuangalia idadi ya wajane vs wagane kama kigezo cha wanaume wengi kuuawa na wanawake siyo kigezo sahihi.Kundi linaloongoza kuua wenza wao katika ndoa ni wanawake, wanaume wengi sana wamekufa katika ndoa zao kwa kigezo tu cha 'kulea' watoto kwenye ndoa ambazo zilishavunjika mioyoni, hao wanaochukua sheria mkononi ni wachache sana. Ukitaka kuthibitisha hili tazama idadi ya wajane vs. Wagane