Wakati intelijensia zao ziko busy na maswala ya kuimarisha chumi za nchi zao, yetu iko busy kuhakikisha ccm haianguki madarakani na pia wako busy kuhakikisha mporaji aka mwekezaji anavuna kwa amani rasilimali zetu pasipo bugudha toka kwa wenye "mali".Obama vs Jimping, and the battle field is Tanzania! Nothing else is there but Land, Natural Gas (NatGas) and Uranium! wakati Intelligence sevices za hao jamaa zikiwa busy kutafuta information juu hizo raslimali za TZ sijui kama TISS imejipanga ku-counter mashambulizi! Otherwise, ama raslimali zetu zitachotwa kwa bei cheee au zitageuka kuwa laana itakayogharimu uhai wa watanzania!
Huo ni mtizamo wako tu, Rais wa mataifa yaliyoendelea wakisema waje kufanya ziara huku mnafikiria kunyang'anywa ardhi na rasilimali zingine ila nyie Rais wenu akienda huko mnaona poa tu eti anaenda kutafuta masoko na fulsa za uwekezaji...SAWA lakini mara nyingi tuwe tunaangalia mambo (hizi ziara) kwa mtazamo CHANYA na kujitengenezea fulsa za kupata chochote potential kupitia ziara hizo na sio daily kulalamika kama MAHAYAWANI. utajiri wa china au marekani haunihusu mimi maana hata TZ yetu ina mazuri yake na mabaya yake.