Hata vitz huna
Hongera mkuuNina mpango wa kununua baiskeli Phonex au Avon mwanzoni mwa mwaka huu mkuu.
speed, prestige, price tag!..wataalam mniambie hayo magari ya bei mbaya ya dizaini hiyo yanakitu gani cha ziada zaidi ya makelele kama yametoboka 'eksozi' na ufupi kama umekaa kwenye 'formula 1' vile.
kama gari haijapanda hewani angalau kwa kimo hiki bado sijashawishika kuinunua.
View attachment 659427
Siku hizi tochi za trafiki mpaka mjini vichochoroni. Hio top speed ya Veyron (360 k/h) utakimbilia barabara zipi?Sababu hii mzee hauna wasiwasi nayo?
![]()
Kwa mafuta hayo itakua imewekwa injini ya jet fighterSababu hii mzee hauna wasiwasi nayo?
![]()
Haha umenifurahisha mkuu hivi unajua dunia nzima kuna barabara 4 tu ambazo veyron inaweza kumaliza speed yake yote hyo ya 360 km /h ?Siku hizi tochi za trafiki mpaka mjini vichochoroni. Hio top speed ya Veyron (360 k/h) utakimbilia barabara zipi?
Hapo sasa.Haha umenifurahisha mkuu hivi unajua dunia nzima kuna barabara 4 tu ambazo veyron inaweza kumaliza speed yake yote hyo ya 360 km /h ?
Jitahidi mkuu, at least utaacha historia..
Trekta ataweza, labda bajajiHauna hela wewe nunua trekta