Sababu nyingine ya UKAWA kushindwa

Sababu nyingine ya UKAWA kushindwa

Tatizo wengi wa wanajamvi hawataki kuona au kusoma kitu tofauti na wanachofikiria. Remember numbers never lie kwa uraisi kabisa chukua majimbo 230 ya uchaguzi then ondoa majimbo ambayo ukawa hawapo kabisa au wapo kwa uwakilishi tu, , , , , kazi ipo mwaka huu soft loan zitatuuwa kwa presha baada ya October 25.
 
Ukiachana na masuala ya goli la mkono na mengineyo... bado kimahesabu Ukawa wanaonekana watashindwa hasahasa eneo la Bara(Urais)

Heb tuangalie influence ya Ukawa yote V CCM katika mikoa mbalimbali...(Urais)

Arusha..... Hapa Ukawa wana chance ya kushinda by 80% of all total votes ... Huku 20% ikienda CCM..

Dodoma.. CCM wana chance ya kushinda 85% ya kura zote

Kilimanjaro.... Ukawa wana chance ya Kushinda 70% of all votes

Singida.. CCM wana chance ya Kushinda 85% of all votes

Morogoro ... Ccm wana chance ya kushinda 75% of all votes

Tabora.... Ccm wana chance ya kushinda zaidi ya asilimia 90 ya kura zote kihalali..

Manyara... ukawa wana chance ya kuchukua asilimia 80 ya kura zote..

Shinyanga... Ccm wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asiimia 70 ya kura zote... Kihalali kabisa

Kagera ... Ccm wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya kura zote

Mwanza.. ukawa wana nafasi ya kuchukua si zaidi ya asilimia 55...

Iringa... CCM wana nafasi ya kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya kura zote kihalali...

Tanga... CCM wana uhakika wa kuchukua zaidi ya asilimia 80 ya kura zote

Mbeya.. CCM wana uhakika wa kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya kura zote..

Kigoma ... CCM wana uhakika wa Kuchukua zaidi ya Asilimia 65 ya kura zote....

Kwa sample hii ndogo... Inaonyesha kuwa CCM wana influence sehemu kubwa ya Tz kushinda UKAWA ambao wana nguvu mikoa michache tuu...

Kama mambo yangekuwa mepesi kwa kubandika asilimia kama unavyotaka unadhani Nape angesema "CCM Itashinda tu hata kama kwa goli la mkono"
 
Ushabiki wa siasa mnafanya kama wa simba na yanga, badala ya kuchuk
ua kama changamoto na kufanyia kazi, mnambeza mleta mada, wakati mikoa hiyo ndiyo yenye watu wengi wa CCM mnadhani huko mikoani watu wote wana TV au wanamuda wa kukaa labda radio kidogo. Jamii forums wanaopita huko ni asilimia moja tu, hata hapa mjini wanaopita hapa ni wachache. Ni ushauri tu mimi mpaka saizi ni wale tunapsubiri kampeni, kwa maana siku upande wowote na kampe zipo kwa ajili yetu.

Hakuna aliyembeza mleta mada hapa, we'll be stupid enough not to ask where the hell did he get/derive those numbers from.
 
1. Kamilisha uchambuzi wako kwa mikoa yote kupata taswira Kamili ya Tanzania Bara 2. Eleza aina ya utafiti uliotumia kupata matokeo haya na lini utafiti ulifanyika 3. Matokeo ya kutumia % bila kuekeza sample size Mara nyingi ni vigumu kuaminika.
 
Wasukuma peke yao ni zaidi ya makabila ya Kaskazini yote, isitoshe kuna mpasuko wa wazi kabisa katika uchaguzi huu. Slaa yuko wapi? Ukijuwa jibu ya swali hilo ujuwe kuna u R na u L.

Ma L yamemtupa nje akipenda asipende m R mmoja aliyekuwa agombee Urais. Unafikiri ma R wote waliobaki watakubali?

Ukawa inabwagwa kiulaini kabisa, bila ya jasho.
 
Mpaka muda huu kuelekea kwenye uchaguzi kitu nilichojifunza Tanzania ni nchi ya chama kimoja hakuna chama cha siasa cha upinzani haswa kinacho challenge CCM kisera na wala wapinzani awana base inayojulikana kama wafuasi wake.

Mpaka tulipofikia hapa na baadhi ya watu wasiounga mkono CCM ukisoma hoja zao ni CCM own making in this 'fall from grace'. Wengi awajali tena nani yuko upinzani, analeta nini mezani au ana uwezo gani kikubwa wanataka kuiadhibu CCM sababu imewasahau, kimekuwa chama chenye kulinda maslahi ya wachache, chama kilicho wapelekea maisha kuwa magumu, kinachofuga wabadhirifu na malalamiko mengi ambayo upinzani aina majibu yake ya kisera isipokuwa yamesababishwa na CCM tu kwa mujibu wa watu wengi wa upande wa pili.

Sijaona sababu zozote za siasa zaidi ya muundo wa serikari sanasana visiwani; yaliyobaki ni CCM own making kuwaachia opportunists wa upande wa pili kupata support wanazopata na kwakweli people dont care anymore ata huyo Lowassa anaungwa mkono si kwasababu ya kupendwa sana ni kwakuwa watu wanaotaka kuona CCM inatoka bila ya kujali nini kinakuja.

CCM kama kikishinda uchaguzi huu inabidi wakae chini na wajipange upya kabisa kwa sababu upinzani halisi hakuna bado, wapiga kura wengi bado awajui tofauti za kisera zaidi ya muungano lakini mambo ya income distribution policies are not on their mind na wapinzani wala awaongei hoja hizo hila bado wana support.

Tatizo ni CCM wenyewe wanachama wao wasiokuwa na discipline, chama kukosa umakini kwenye kusimamia serikari, kuteuwa watu wasio na uwezo kushika nyadhifa sensitive kuachia maovu kuendelea waziwazi kama madawa ya kulevya, uwekezaji usio na tija, kuwaficha watanzania kuhusu mikataba ya resource zao to name a few; you get the feeling this is their last chance kikubwa kinachowasaidia ni werevu wengi kukaa mbali na siasa za upinzani kwa sasa.
 
Pole sana,haya nenda kamwambie Nape kuwa ushafikisha takwimu uchwara alizokupa uzilete hapa then akupe buku7 yako.

Anasema kweli. Na hata hivyo arekebishe ile ya Mwanza. Mwanza hawataweza kumuangusha Magufuli hata kama ingekuwaje. Mcheza kwao hutunzwa. Wabunge yaweza kuwa sawa ila Urais noooo. Na hii ni kwa kanda ya ziwa yote.
 
sina haja ya kusoma mikoa mingine ulipotaja mbeya tu nikajua unadanganya watu hapa
 
Magufuli ana pita tena asubuh mapema ila katika ubunge ccm itaumia na naamin hata baraza la mawazir la magufuli litashehen majembe maana tayar ccm imesoma alama za nyakat tegemeen vijana weng kuwa mawazir mwaka huu
 
Anasema kweli. Na hata hivyo arekebishe ile ya Mwanza. Mwanza hawataweza kumuangusha Magufuli hata kama ingekuwaje. Mcheza kwao hutunzwa. Wabunge yaweza kuwa sawa ila Urais noooo. Na hii ni kwa kanda ya ziwa yote.

Kwa asilimia ngapi?
 
Wasukuma peke yao ni zaidi ya makabila ya Kaskazini yote, isitoshe kuna mpasuko wa wazi kabisa katika uchaguzi huu. Slaa yuko wapi? Ukijuwa jibu ya swali hilo ujuwe kuna u R na u L.

Ma L yamemtupa nje akipenda asipende m R mmoja aliyekuwa agombee Urais. Unafikiri ma R wote waliobaki watakubali?

Ukawa inabwagwa kiulaini kabisa, bila ya jasho.

Ukawa Bado... Wajipange
 
Kama magufuri anapita na ukawa inashindwa wewe unaumia nn, Kama anauhakika wa ushindi mnahaha nn kwenye mitandao?
 
Siku nyingine ukae vzur na kutafakar kabla ujaleta mada yako yenye mashiko ya kishamba ndugu mwandishi hiv katika soma soma yako ulishawai kusoma civics???hiv population ya mwanza unalinganisha na singida??population ya Dodoma ulinganishe na Arusha???? Dar na shinyanga
 
Back
Top Bottom