Wasukuma peke yao ni zaidi ya makabila ya Kaskazini yote, isitoshe kuna mpasuko wa wazi kabisa katika uchaguzi huu. Slaa yuko wapi? Ukijuwa jibu ya swali hilo ujuwe kuna u R na u L.
Ma L yamemtupa nje akipenda asipende m R mmoja aliyekuwa agombee Urais. Unafikiri ma R wote waliobaki watakubali?
Ukawa inabwagwa kiulaini kabisa, bila ya jasho.