Sababu ni nature ya Mfumo dume / thamani ya mwanamke

Sababu ni nature ya Mfumo dume / thamani ya mwanamke

Kuna ukweli huu ambao unauma:-

Kufuli linalo funguka kwa kila funguo, halifai. Si kufuli zuri.

Lakini, funguo inayofungua kila kufuli ni 'master key', inafaa sana.


D.
 
Ukweli mtupu Mkuu, lakini haya ni kwetu siye Waafrika Wazungu binti wa miaka 16 Wazazi wanamruhusu awe na BF na anaweza kwenda kulala kwa BF au BF kuja kulala nyumbani. Sijui wachina na wahindi kwenye hili wanaegemea kipande ipi.

Kwa mawazo yangu, wazungu wamekumbwa sana na ishu za mapenzi ya jinsia moja so ikitokea kuona mwanae ana mahusiano na jinsi tofauti kwao ni kheri sana.
 
Siku Ya kwanza kwenda kwao,baba mkwe alinchinjia mbuzi kunkaribisha kwa familia hapo ubf na ugf tu,mama mkwe akantolea mashuka akanionyesha chumba chenye vitanda viwili eti madai yake tutalala kila mtu na kitanda chake,cha kushangaza kesho yake akatuhamishia master bedroom chumba cha kitanda kimoja,(sisi wazazi Mungu anatuona)ila bint yake wa kike alihisiwa tu ana bf alipigwa kipigo cha mbwa na kublee juu.Likizo ya chuo kabla nyumbani hawajua wao wameshakuja kunifata,kwetu naenda kumalizia tu na kuchukua ada.
Mimi mwenyewe hapa nakidume Mungu aniweke hai aniletee haraka sana mkwe na watoto.
Sisi ndo waafrika bwana
Aiseee..hao wakwezo walitisha
 
Kuna ukweli huu ambao unauma:-

Kufuli linalo funguka kwa kila funguo, halifai. Si kufuli zuri.

Lakini, funguo inayofungua kila kufuli ni 'master key', inafaa sana.


D.
Hahaa
 
Kwa mawazo yangu, wazungu wamekumbwa sana na ishu za mapenzi ya jinsia moja so ikitokea kuona mwanae ana mahusiano na jinsi tofauti kwao ni kheri sana.
Ulaya kumechafuka
 
Mmh kwa mfumo huo bola mfumo dume kuliko mfumo jike
 
Back
Top Bottom