Hizo ni minor reasons.
Kama hizi ni sababu kuu nijibu swali hili;
Tangu tupigane vita na Amini nchi imepita katika vipindi vya tofautitofauti, vya neema na vya kupungukiwa, je, imewahi kutokea ndani ya miaka miwili wafanyakazi hasa watumishi wa umma kutogusa ongezeko angalau kidogo?
Kama haijatokea je, Hivi vyama vya wafanyakazi, watumishi na wabunge unataka kuniambia kwa sasa wamekuwa weak zaidi ya awamu zote ?
Unajua idadi ya maswali waliyouliza wabunge juu ya ongezeko la mshahara tangu JPM aingie madarakani?
Sababu kubwa ni roho mbaya ya MAGU asiyetaka kuona watu wanafurahi.
Surely nakuambia hata Mwinyi,Mkapa na Kikwete wangeamua kufanya hivi wangeweza.