YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Mabunge yote yaliyopita yalikuwa na maspika na manaibu spika wazee wakati upande wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA wabunge wake wengi walikuwa vijana.Sasa walikuwa wakikosea bungeni MASPIKA NA MANAIBU SPIKA WAZEE walikuwa wanawachukulia tu kama wajukuu watukutu na kuwachekea kuwa utoto tu unawasumbua wakawa wanamezea.
Ndio maana unakuta wanalia lia sasa kuwa tunawakumbuka babu Spika Sitta na Bibi Spika Makinda!!!!!
Sasa hivi kuna vijana wengi wabunge wa UKAWA wamekutana na naibu spika kijana mwenzao ambaye hana mpango wa kuendekeza mambo ya kudekeza ya malezi ya akina bibi na babu wa mabunge yaliyopita.
Huko tuendako kwa kuwa upinzani wanaleta wabunge wengi vijana iko haja kuwajazia vijana nafasi zote kuanzia za Spika,naibu spika na mawaziri wawe vijana wote ili wapambane wenyewe kwa wenyewe.Wakutane kizazi cha DOT COM kwa DOTCOM.
Chukulia mfano Spika AWE Dr TULIA akson,NAIBU SPIKA awe Lusinde,Waziri Mkuu PAUL makonda mbona patachimbika na kitaeleweka.
Ujumbe kwa wabunge wa UKAWA badilikeni zama zimebadilika hizi sio zama za akina babu na bibi maspika na manaibu spika waliopita.Hakuna babu na bibi wa kuwadekeza nyie