Sababu Kuu Inayompa Mwanamke Nguvu Juu Ja Mwanaume

Sababu Kuu Inayompa Mwanamke Nguvu Juu Ja Mwanaume

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
693
Mwanamke anajua ana thamani.

Tangu azaliwe anathaminika kuliko mwanaume. Na jamii inamlinda.

Jambo linalowapa nguvu kwenye suala la mahusiano.

Mwanamke ana sehemu kubwa ya kuchagua mpenzi.

Katika hiyo sehemu kubwa ya kuchagua anajua akiachwa ni rahisi kupata mtu mwingine.

Jambo linalomfanya awe na nguvu kumwacha mwanaume muda wowote atakao teleza. Kuteleza ni pale unapopunguza ujasiri kumuongoza na unakua mnyenyekevu kwake kutaka kumridhisha.

Kutegemea na mwanamke na muda wa mahusiano. Kuna wanawake ukitetereka kidogo tu anakuacha na wengine watakavumulia kwa muda. Lakini baada ya muda uvumilivu utaisha.

Mahusiano ya muda mrefu mwanamke atakuvumilia zaidi ya mahusiano mapya.

Uchaguzi huo unawapa UOGA wanaume wengi. Wanaogopa kumpoteza mwanamke aliyenaye. Kwa sababu yoyote ile.

UOGA huo unampa mwanamke nguvu juu ya mwanaume.

Ukishaogopa tu, ujue umempa mwanamke nguvu ya kukuendesha.

Ndo mana nakazia usiogope kumpoteza mwanamke, ila mfanye akupende zaidi na zaidi.

Ni sawa na ukiwa na hela alafu ukawa unaogopa kuzipoteza, utazipoteza tu.

Mwanaume ukikubali ukweli huu mapema haupotezi nguvu yako.

Unakua umenyang’anya mwanamke hiyo nguvu ya uchaguzi.

Na kumruhusu aende na arudi atakavyo jambo litakalomfanya akukubali zaidi. Jambo litakalomfanya akupende zaidi.
Yaani unakua haujali sana.

Mwanaume inabidi uhangaikie kila ukitakacho.
Ikiwemo kujiweka vizuri ili umpate mwanamke unayemtaka.
Na inabidi ujue jinsi ya kuipata nguvu yako kwenye mahusiano.
 
Wewe hukuthaminiwa na baba yako sababu alikuona ni shoga mtafajiwa
 
We jamaa unaongelea mahusiano yapi , labda kama mwanamke amekufata mwenyewe, yani umpende demu alaf umwendeshe mara umkaushie , labda kama hujampenda , upendo ni habari nyingine lazima akudrive tuu , kuna sku utaanza kumuona wa kawaida hapo ndo unaweza apply hzo theory zako vinginevyo unawadanganya watu
 
🥰Hello

Half american
Have you received a situational report on your base around one hour ago?

Heared there some slights challenges based on safety and security copy?🤣🤣🤣
I haven't heard anything so far, there is a problem with the radio service!

They have cut off communication around here, copy!
Officer do you hear me? 😂
 
Back
Top Bottom