Kuna Jamaa kwa Office yeye kila siku lazima anywe Akija Mornie Kanywa au kaamka navyo saa nne hutoroka na kwenda kuvinywa basi taabu tu kwa Office anatoa harufu kali na husinzia kila wakati na ukimuamsha anaenda kunywa maji na kwa sasa husingizia Tumbo linamuuma kidogo tu anasinzia officean hashauriki hadi watu wamemuacha ni kama kupiga mbuzi gitaa..
Nadhani viroba vimekuwa kama Madawa ya Kulevya ukivianza hutoviacha..... vichunguzwe hivi watu wanakuwa hawana raha wala uwezo wa kufanya kazi hadi wanywe! na kuzimua