Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 4,975
- 9,721
Habari zenu wana tech
Wakuu naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada, kiukweli ninapata wakati mgumu kuwa encourage wadogo zangu wajifunze programming/ coding.
Muda wanao wakutosha kujifunza na resources naweza kuwapatia, ila changamoto nikua nakosa Vivid example za kazi ambazo zipo au zilizofanywa na wabongo. Hapo tu hata mimi mwenyewe nakosa imani juu ya tasnia hii ya programming /coding.
Nadiliki kusema kuwa hata mimi miaka ya nyuma nilijaribu kujifunza ila niliishie Html na Css, I did only web development.
Baada ya hapo nikakosa motive ya kuendelea coz after web development nikawa sioni projects ambazo zipo more advanced na zinatumika ambazo zimetengenezwa nawabongo.
Basi kama kunaproject unayoifahamu iliyofanya na wabongo au mbongo ambayo inatumika naomba ushee nasi.
Ili tuweze kuencourage madogo zetu wajifunze hii kitu.
Nawasilisha.