Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Hahhah sisi hatuuzi sura bungeniNa nyie pelekeni lile birika lenu la kuvutia shisha mlilopata Zanzibar
Hahhah sisi hatuuzi sura bungeniNa nyie pelekeni lile birika lenu la kuvutia shisha mlilopata Zanzibar
niende kufanya nini hasa ?Hata wewe unaweza kuomba na ukakubaliwa kwenda
Naona aibu sana kushirikiana timu na NdugaiNdugai ni Simba
Majaliwa ni Simba
Wanatumia nafasi zao kuipeperusha timu yao.
Ushamba
Mwenye majibu anieleweshe
Mbonji fc🤣
Mwenye majibu anieleweshe
Kikao cha chama kinachotafuna pesa za umma, hamna bunge humo!!Wabunge wenyewe wanasinzia