Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,430
- 271,920
Mwenye majibu anieleweshe
MO ni Mwanachama wa CCMNi kwa sababu
Ndugai na wengine unawajua.....
KWANI SABABU ZA YULE MLEVI: mama nakufaaa! utabaki kuwa juu ilikuwaje bro..? ( pierre)
Hahh!!kuwa serious mzeeLabda Hotel zimejaa sasa check in saa sita mchana naona wakaona bora wakalale bungeni mpaka mchana waende Hotel. Maana naona wanakoroma tu.
Kwa sababu wamechukua kombe la Simba Super Cup



wivu bhana! usijiuwe tuu, kamlipeni tambwe hko.. 😌 🙁Walienda kuonesha lile blender walilopaka Rangi
Jiesiemu kibunda kipo hatuwaziwivu bhana! usijiuwe tuu, kamlipeni tambwe hko.. 😌 🙁
angalau wewe umeleta majibu sahihi , lakini ni jambo lisilokubalika kwa timu ya watu wote kutumika kwa manufaa ya chama cha siasaNadhani wanataka angalau wananchi waangalie bunge maana linedoda sana
Simba Super Cup ni kombe haswa, huwezi kulinganisha ile mashine ya kuvutia ShishaWalienda kuonesha lile blender walilopaka Rangi
😂😂😂😂Mtengeneze wenyewe na mshinde wenyeweSimba Super Cup ni kombe haswa, huwezi kulinganisha ile mashine ya kuvutia Shisha
Na nyie pelekeni lile birika lenu la kuvutia shisha mlilopata ZanzibarWalienda kuonesha lile blender walilopaka Rangi