Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,399
KWANINI TANZANIA ITENGWE EAC (UPANDE WA MASWALA YA KISIASA)
(mtazamo chanya).
1.Kumbukeni kuwa wenzetu wanataka ardhi ya Tanzania na sisi hatuko tayari, nakumbuka waziri sitta alipiga kelele sana juu ya hili.
2. Ujio wa Rais wa marekani nchini kwetu Mh. Obama na safu yake huenda imewachukiza wakenya na wenzake waliojitenga kwa kuona Rais huyo kutokufika katika nchi hizo na ilihali Obama kwao asilia ni Kenya, hapa lazima wivu uwepo hata ningekuwa mimi.
3.Endapo Tanganyika na Zanzibar zikajitenga, utabiri wangu, muungano huo mpya wa EAC utaiwahi Zanzibar ili ijiunge nao na Tanganyika ibaki inaelea kwa kukomolewa. Tutafakarini sana tunapozungumzia muungano wetu, tuhakikishe hauvunjiki.
4.Operesheni kimbunga ya wahamiaji haramu huenda pia itakuwa imewachukiza sana maana kuna wananchi wao pia.
5.Tanzania haijawahi kuingia kwenye machafuko makubwa ya kisiasa kama hizo nchi, huenda wanatamani kuona watanzania tunaonja radha hiyo.
6.Huenda ukawa ni mkakati wa kisiasa kuwafanya Wananchi kuwachukia viongozi wao hasa kipindi hiki cha kutafuta Katiba mpya.
7.Huenda mpango wao wa kujitoa ICC ukishirikisha Tanzania hautafanikiwa kwani huenda watanzania watakataaa.
8.FIKRA POTOFU.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania mwl. KISANDU