Sababu 8 za Tanzania kutengwa EAC hizi hapa

Sababu 8 za Tanzania kutengwa EAC hizi hapa

Deogratius Kisandu

Hili la ardhi nakubaliana nawewe maana Tanzania bado tunaardhi kubwa iliyoloose. Lakini kwanini katiba mpya isijenge mazingira ya kuilinda na kuifadhi haki ya watanzania kumiliki ardhi yao?

Hili sio kweli nani kakueleza utamu wa chai ni rangi yake? au ukubwa wa pua ni wingi wa kamasi? waulize wakenya watakwambia-Obama anawapatia misaada mingi lakini hapendi wazungu waielewe dhamira yake wazi wazi

Mfano
-Vita na somalia jamaa kawapatia dhana bora kama zile za kuona gizani with infrared rays, sniping guns etc, napia mengi mengineo. na huko kwa bibi yake obama ni siri ya wakenya.

Zanzibar akili yake yote ipo omani, usijidanganye kabisa-nani kakwambia Uganda au kenya au Rwanda kuna tende, haluwa na nyama za ngamia?

Hili lina nafasi kiasi flani nakubaliana nawewe, falsafa ya mwl JK NYERERE, aliamini binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja kwa waafrika wote, aliishi na wakimbizi wa aina mbalimbali mpaka zimbabwe (Rhodesia wakati huo) SA, Msumbiji, Angola nk hata sikumoja hakufikiria kuwafukuza. Kikwete kwa kukosa maalifa ilikulipiza ugomnvi wake na Kagame-kama kawaida ya kiongozi dhaifu hutekeleza maamuzi yake kwa wanyonge, kikwete hawawezi wenyenguvu siunaona wezi wa EPA, Madawa ya Kulevya nk.....

Tutaweza kuingia huko tu sio kwa mashinikizo kutoka nchi jirani, bali kutokakna na utawala mbovu usiozingatioa haki wala usawa katika kutekeleza haja na haki za watanzania hususani raia wa kawaida.

mfano

Afya duni, maskini wanaangamia zahanati na mahospitalini hakuna madawa wala vifaa tiba, wakati masikini wanateseka na kufa wenye uwezo/mafisadi na wezi wa raslimali za taifa hutibiwa nje ya nchi-hili ni chukizo

Elimu duni, raia wa kawaida wanateseka na kupata elimu kwenye shule zisizo na walimu wala vitendea kazi, watoto wa maskini wanafeli ovyo- watoto wa majizi na mafisadi wanapata elimu bora -hili ni chukizo

Watanzania wapole sana, na serikali ya ccm imeinajisi kupindukia haki na amani ya watanzania, endapo serikali itachukiwa ni kutokana na uzembe wake yenyewe kushindwa kuwakwamua watanzania dhidi ya maaduwi
-ujinga,
-maradhi na
-umasikin.

Mpaka sasa mwanasheria mkuu ameandika waraka akiwaunga mkono, hili halina usahihi wala ukweli wowote.......

. .....Zipi fikra potofu walau taja chache tuelewe....

Mwana unatumia bia gani? Nataka nikugonge ofa. Kazi nzuri
 
Lakini sababu kubwa ni kuwa rais wetu hana vision yenye kunuia kuleta maendeleo bali kufanya mambo kiswahili swahili na kijanjakijanja. Political ideology ya viongozi wa tanzania sio productive kwa maendeleo. Wanaobisha waseme nitawaletea facts zaidi. Ngumu kumeza lakini dawa kwahiyo tukubali ukweli
nilikuwa napita tu lakini kwa kauli yako wewe inaonesha ni namna gani ulivyo na akili nusu, hufai ata kuongoza nyumba kumi. nitaludi kwa ajili yako
 
Kisandu wewe ni mmoja wa wakereketwa wa CCM,unakumbuka kipindi cha uchaguzi wa Kenya mlikuwa mkimshabikia nani? Uhuru Kenyata sasa imewatumbukia nyongo mnaanza kupiga kelele sio?

Tatizo la Watanzania ni kiherehere na kimbelembele cha kijiona mjuaji na unapendwa na kila mtu,ni ujinga uliopitiliza,nchi hizo hauwezi kuwasikia wakishabikia CCM,CHADEMA CUF lakini sie ndio wajuaji kila kitu tunajua,mpaka wanatumwa viongozi kwenda huko,mbona chaguzi zetu hawaji?

Usifikiri kwamba kila anayekuchekea anakupenda mwingine hana mapenzi na wewe anakuchukia sana,sasa mnaanza kuandika utumbo humu eti sababu 8 kwa nini wanatuchukia,mwisho mtaenda kupiga ramli wakati mchawi ni wewe mwenyewe
 
mnafiki utamjua kwa sura na matamshi yake hadi nyumba inakushinda, jiangalie wewe kwanza kabla ujamjaji mwenzi. zoba

Kijana nini kimekusibu. Unaona hatari mie kumnunulia jamaa bia kwa ku na appreciate alichokiandika au umepotea? Mie sijakusoma na hizi za kukurupuka ni dalili za ujauzito au panic pale mtu aliyerukiwa na damu yenye maabukizi anaposhindwa kupatiwa Post Exposure Prophylaxis (PEP) lakini utakuwa na mimba tu wewe maana ofa si ya kwako kabisa wewe umetoka wapi? Majanga!!!!????
 
Bado saana.. sisi wenyewe ni wabinafsi mno.. tuna mafisi saanaa.. kila mtu anawaza kuficha hela uswis.. mishahara isiyolingana.. fursa za kupendeleana nk.. nani ataipenda Tanzania? nyie waulizeni Rwanda.. au hata wa Kenya.. wanavyokazana kuijenga nch yao kwa mikono yao wenyewe.. sis tumejaa manyangau na wabinafsi, wapga domo.. elimu ya wachache... alaf tuje tuseme 2naweza kuja kushindana nao 20yrs to come, ndoto za mchana..! we fikiria miwazir inauza sembe.. mtu akiwa kiongoz lazima Awe na maendeleo Yasioeleweka.....mf. Mtoto wa Rais(H.E. Prince Riziwani KIKWETE) tutasubir saana.. Kweli wenzetu hawatupendi, alaf na sis hatuipendi Tanzania.. kama hamuamin muulizeni wazir Muhongo.. watanzania watawekeza kwenye nyanya baasi!!!! acha tuendelee kuvunwa na wazungu..!
uliyo andika ni kweli kabisa-lakin EAC SIO KABISA yaani "chetu cha wote chao CHAO"
 
bullshit.... Kisandu its either you are plain dumb or you are in denial, the reasons Tanzania is being ignored are plain as day, you were slowing and undermining the integration process for the other countries which were and still are willing to integrate, PERIOD.

I understand that you guys dint want the intergration process sped up, so you should let the other willing countries speed up the processes without interference and maybe, just maybe, you will join us in future. People are yearning for development while you guys on the other hand want us to marktime with you for ages because apparently speed makes y'all dizzy. Tanzanians have always said that you dont need EAC because you are in SADC, like most of you are saying now that there is no EAC without Tanzania, just wait and see, mnaleta uswahili hadi kwenye mambo ambayo hayahitaji uswahili. Maneno na vitendo, nyie mmezoea maneno tu.
 
Bado saana.. sisi wenyewe ni wabinafsi mno.. tuna mafisi saanaa.. kila mtu anawaza kuficha hela uswis.. mishahara isiyolingana.. fursa za kupendeleana nk.. nani ataipenda Tanzania? nyie waulizeni Rwanda.. au hata wa Kenya.. wanavyokazana kuijenga nch yao kwa mikono yao wenyewe.. sis tumejaa manyangau na wabinafsi, wapga domo.. elimu ya wachache... alaf tuje tuseme 2naweza kuja kushindana nao 20yrs to come, ndoto za mchana..! we fikiria miwazir inauza sembe.. mtu akiwa kiongoz lazima Awe na maendeleo Yasioeleweka.....mf. Mtoto wa Rais(H.E. Prince Riziwani KIKWETE) tutasubir saana.. Kweli wenzetu hawatupendi, alaf na sis hatuipendi Tanzania.. kama hamuamin muulizeni wazir Muhongo.. watanzania watawekeza kwenye nyanya baasi!!!! acha tuendelee kuvunwa na wazungu..!

nimefurahishwa sana na jibu lako, tunawaza sawa sawa. kuna falsafa inayosema, ''ili mtu mwingine akudharau unaanza kujidharau wewe mwenyewe kwanza'' and this is true, watanzania tunajidharau sana, udhaifu tosha tulionao kama uliotajwa hapa juu eti bado tunajitutumua na vijimawazo vya kijinga kuwa tunaonewa wivu obama kuja hapa, hivi kweli tuko sensible vya kutosha? kwanza tuone tija ya safari ya obama kuja tanzania bila ya hivyo utabaki unashobokea nonsense
 
bullshit.... Kisandu its either you are plain dumb or you are in denial, the reasons Tanzania is being ignored are plain as day, you were slowing and undermining the integration process for the other countries which were and still are willing to integrate, PERIOD.

I understand that you guys dint want the intergration process sped up, so you should let the other willing countries speed up the processes without interference and maybe, just maybe, you will join us in future. People are yearning for development while you guys on the other hand want us to marktime with you for ages because apparently speed makes y'all dizzy. Tanzanians have always said that you dont need EAC because you are in SADC, like most of you are saying now that there is no EAC without Tanzania, just wait and see, mnaleta uswahili hadi kwenye mambo ambayo hayahitaji uswahili. Maneno na vitendo, nyie mmezoea maneno tu.
The intergration you mean is nothing than day dreams. There'll be no working EAC without Tanzania. Rwanda, Uganda and Kenya u are cheating each other. Most of U are cönfronted by shortage of land. That'why all of you've found refuge in Tanzania. Why not Tanzanians in your countries? We are proud being Tanzanians than you proud being Kenyans and alike. Since you've no land what are u going to intergret? Surely, your intergration is word-based with hanging roots. It's rather Presidents intergration than citizens' intergration. Unlike you and your weak,poor integration, SADC is our third eye.
 
bullshit.... Kisandu its either you are plain dumb or you are in denial, the reasons Tanzania is being ignored are plain as day, you were slowing and undermining the integration process for the other countries which were and still are willing to integrate, PERIOD.

I understand that you guys dint want the intergration process sped up, so you should let the other willing countries speed up the processes without interference and maybe, just maybe, you will join us in future. People are yearning for development while you guys on the other hand want us to marktime with you for ages because apparently speed makes y'all dizzy. Tanzanians have always said that you dont need EAC because you are in SADC, like most of you are saying now that there is no EAC without Tanzania, just wait and see, mnaleta uswahili hadi kwenye mambo ambayo hayahitaji uswahili. Maneno na vitendo, nyie mmezoea maneno tu.

Hey you British East Africa Umewekewa jukwaa lenu unafuata nini huku?Nyie mnadhani tumesahau ya mwaka 77?
 
kisandu wewe ni mmoja wa wakereketwa wa ccm,unakumbuka kipindi cha uchaguzi wa kenya mlikuwa mkimshabikia nani? Uhuru kenyata sasa imewatumbukia nyongo mnaanza kupiga kelele sio?

Tatizo la watanzania ni kiherehere na kimbelembele cha kijiona mjuaji na unapendwa na kila mtu,ni ujinga uliopitiliza,nchi hizo hauwezi kuwasikia wakishabikia ccm,chadema cuf lakini sie ndio wajuaji kila kitu tunajua,mpaka wanatumwa viongozi kwenda huko,mbona chaguzi zetu hawaji?

Usifikiri kwamba kila anayekuchekea anakupenda mwingine hana mapenzi na wewe anakuchukia sana,sasa mnaanza kuandika utumbo humu eti sababu 8 kwa nini wanatuchukia,mwisho mtaenda kupiga ramli wakati mchawi ni wewe mwenyewe
ukisema ukweli unakuwa mkereketwa wa ccm, basi nawewe mkereketwa wa uvccm.
 
bullshit.... Kisandu its either you are plain dumb or you are in denial, the reasons tanzania is being ignored are plain as day, you were slowing and undermining the integration process for the other countries which were and still are willing to integrate, period.

I understand that you guys dint want the intergration process sped up, so you should let the other willing countries speed up the processes without interference and maybe, just maybe, you will join us in future. People are yearning for development while you guys on the other hand want us to marktime with you for ages because apparently speed makes y'all dizzy. Tanzanians have always said that you dont need eac because you are in sadc, like most of you are saying now that there is no eac without tanzania, just wait and see, mnaleta uswahili hadi kwenye mambo ambayo hayahitaji uswahili. Maneno na vitendo, nyie mmezoea maneno tu.
kwanza angalia signature yako ndio ulinganishe na ulicho sema. Utajua tabia yako ikoje.
 
Kinachowaunganisha Kenyatta, Museven na Kagame ni ICC tu basi hamna lingine. 40% ya wakenya hawana ajira wala sehemu ya kulima, hivyo tanzania ndilo lilikuwa jibu la Rwanda na Kenya kuhusu ajira na makazi ya watu wao. Baada ya kuona mpango huu wa Tz wameushukia hasira zikawapanda. Museven hawezi kunufaika chochote kwenye ushiriano wao huo mpya. Tz tukaze buti uzi huu huu
 
tanzania hatupashwi kujitoa mahakama ya kimataifa.... NEVER........ watu na damu zinazomwagwa lazima watu walipe ina maana wale watu waliokufa kule kenya eti tu kwa sababu sasa kuna amani basi ndio wasahahu yaliyopita..... never someone has to pay
 
Back
Top Bottom