Sababu 8 kwa nini wasichana wengi wa kiafrika wanabaki masigle mpaka siku yao ya kuishi kwisha

Huelewi kingereza?

Tazama hii sentensi:

kwa sababu totally brainwashed by movies showcasing mwanaume playing the role of women katika familia.

ni matumizi mabaya ya lugha za watu.kama unatumia kiingereza tumia kiingereza kama ni kiswahili hivyo hivyo.Kwa sababu kuchanganya hakuwezi kusaidia mtu hasiyejua mojawapo kuelewa chochote
 
omg, you did... I was kidding... :becky:

I did even you were unserious. As a man always I respect women advice. Wewe ni mke wangu, because your women na nimekuchagua. Sasa usipanick kausha maana wewe unaweza ukatokwa na povu hapa.

AMINIA!
 
Umesomeka mkuu!!
Hili halina swali ndo ukweli wenyewe,japo najua ni ngumu kumesa kwa dada zetu wengi,lakini ndo message sent !!!
 
Nimefaidika na darasa .ila guys wanajua pia sisi tunataka nini.ishakua now days wasichana tunaonekana kuolewa tunapewa favour.sio ivyo jmn na nyie kuwen the same kuna wanaume wanatabia chafu unataman uishi peke yako guyss na nyie jitambuen
 
Back
Top Bottom