Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

Hata wanadamu wafanye nini destiny ya mtu anayo mtu mwenyewe. Ukweli ni kwamba maisha na sehemu anayostahili marehemu komba anaijua mungu mwenyewe. Haya yetu ni mbwembwe tu. Hata wachungaji wote waombe na kusamehe hawawezi badilisha kitu baada ya kifo cha mhusika

wakati ni sasa kila mtu ajifunze kutenda mema maana hakuna maisha ya kudum, hayo mabilioni ya wizi wanayojilimbikizia kwa ajili ya nini??

Mzee komba 'r.i.a.p' = "rest in appropriate place"
 
Ngonyani wewe ni mjinga wa kutupwa,Komba kuish Dar na kupeleka huduma kwa wananchi wake haramu,wewe kuishi Dar na kuwatelekeza wazazi wako hapa kijijini halali?. Rudi huku mazazi wako ombaomba sasa hivi, kwanza tulikukuwa hutujui uko wapi asante kwa kufahamisha kuna siku tutawaleta wazazi wako Dar.
Kumbe na lenyewe linaishi dar! Nilidhani anaandika yuko Lituhi. Jinga kabisa.
 
Kama marehem husamehewa,mbona tunagubiriwa kuna adhabu kwa Mungu?watu waish kwa adabu,na liwe fundisho kwa wenginw,Kifo ni Mawaidha

Uko sawa mkuu...muumini wa kweli hapaswi kuhukumu maaana naye atahukumiwa (recall holy bible).
Ila hapo kwenye KUSAMEHEWA ndo issue..kama Hukutubu kabla ya kufa sisi tulio hai hatuwez kubadili maovu yako
.ila fumbo la imani ni kuwa unajuaje kama marehemu alitubu au hakutubu...hili ni swali gumu of which none of us anajua pia hatupaswi kujua manake itakupeleka kulekule kwenye USIHUKUMU.
 
Hakwenda Ila Butiku Nilikuwa Nae Ng'adu Kwa Ng'adu Jana Karimjee Hall. Nadhani Kwa Hali Ilivyokuwa Haswa Kwa Kauli Za Marehemu Dhidi Ya Mzee Warioba Wenye Akili Zao Watakuwa Walimshawishi Judge Asome Alama Za Nyakati Na Haswa Ukizingatia Mkuu Mpya Wa Wilaya Ya Kinondoni Paul Makonda Alikuwepo. Lakini Yawezekana Mzee Warioba Hakwenda Pale Msibani Ili Asiwe Daraja Tena Kwa Wengine Wanaoutaka Ukuu Wa Wilaya Kwa Kutumia Mwili Wake Kama Punching Bag!
Nice observation mdau @GENTAMYCINE
 
Na asiye na dhambi aanze kumpiga jiwe mwanamke huyu!!
Mtoa thread ni limbukeni wa kutupwa hivi ukitofautiana na mtu kiitikadi za kisiasa ni uadui?we mambo mangapi unayapenda na wenzio hawayapendi?je waku restishe in peace?you are small minded
 
We unamzungumzia Jerry Mwendawazimu mwenzako wa viroba na burudani..hivi alimaliza shahada SAUT eeehhh???!!

ndo mshangar huyu mlevi haelew hata analosema na hana details zozote kwanza cpt komba hana kijana wa jina fredy. na aliesona saut ni gerlad na si fred. huyu n wakukurupuka tumsamehe bure
 
View attachment 231411
Mkee mkubwa wa Komba Salome katikati na mke mdogo kulia
Unaambiwa uswali kabla hujaswaliwa kwa hiyo Makinda ajiombee msamaha kivyake na amwache Komba akabebe msalaba wake.
Tuache unafiki kama waliouonyesha jana,nyumbani kwa marehemu,inaonyeshwa wake wa marehemu wawili,lakini kwenye wasifu wa Komba inaelezwa ameacha mwanamke mmoja.
Halafu kanisa katoliki likamfanyia ibada kama muumini aliye kwenye ndoa takatifu,siamini kama hawakuwa na taarifa bali umaarufu wa Komba uliwafumba macho.
Makinda kaa pembeni mwache Komba abebe msalaba wake.

hujui chchte na huijui famila yke ila umeamua kuropoka. mke mdogo yukwapi hapo kweny picha? huyo alie nae ni mwanae kwa taarifa yko.
 
Okay kisiasa unaweza ukawa uko sahihi. Je kiubinadamu, umewafikiria ndugu zake? mkewe? watoto wake wote? Unataka kuniambia hutaki kuwatia faraja wafiwa? naamini umeteleza.
Kwann tusimuache tu akajieleze mbele ya kiti cha haki huko akhera?
 
1. Ni mtu ambaye ameifikisha nchi hapa ilipo kwa kusaidia kurubuni maskini wasio na elimu kwa vinyimbo vyake ili waichague CCM na kuwapiga vijembe wapinzani.

1. Ni mtu aliyehamia Dar badala ya kuishi Liuli au hata Nyasa, huku akijua kuwa yeye ni mwakilishi wa wananchi. Tena huko Dar hadi mtaa anaoishi ukapewa jina lake kwa umaarufu wake.

3. Ni mtu aliyetaka kulitumbukiza taifa ktk machafuko kwa kauli yake ya kuwa iwapo rasimu ya katiba ya jaji warioba ingepita "angeingia msituni kupigana".

4. Ni mtu ambaye hakupenda demokrasia hata kidogo na alitusi mara kadhaa vyama visivyo madarakani na kutoa lugha ya kejeli.

5. Ni mtu aliyemtukana sana jaji Warioba kuliko watu wote nchi hii. Alitoa matusi, kejeli na dharau dhidi ya jaji Warioba huku akiwa anajua/hajui kuwa mzee Warioba alikuwa "mjumbe" tu wa kile walichosema watanzania.

6. Mwanae Komba, Fred alijiunga na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) punde tu alipomaliza kuchukua shahada yake pale SAUT na akamwelezea tabia ya baba yake kuwa ni "MBAYA" na miongoni mwa watu walioichukia demokrasia ni huyu marehemu

kwa lipi nipange safari kwenda nyumbani kumzika huyu jamaa? Sina wivu wala inda kwa ndugu yangu, mbunge wangu wa kule nyumbani wala chuki nae. "Ila ukweli hastahili kupata pole ya kifo wala faraja ya kifo kutoka kwa wazalendo na wapinga ukoloni weusi"

Shukrani a. Ngonyani

Machi 03, 2015

Dar Es Salaam

Ngonyani@naij.com/sirngonyani@gmail.com

+255 784 37 97 99

we ni ---- unajifany mjuaji na hujui kitu angeenda ishi liuli alikwambia kwao ni liuli? kwao ni lituhi na alikua aienda mara kwa mara na atlest yy hata alipakumbuka kwao hata kwe kujenga a decent house. mpaka sasa wewe kwenu uko nyasa unapodai umefanya nn? ovyoooooo
 
1. Ni mtu ambaye ameifikisha nchi hapa ilipo kwa kusaidia kurubuni maskini wasio na elimu kwa vinyimbo vyake ili waichague CCM na kuwapiga vijembe wapinzani.

1. Ni mtu aliyehamia Dar badala ya kuishi Liuli au hata Nyasa, huku akijua kuwa yeye ni mwakilishi wa wananchi. Tena huko Dar hadi mtaa anaoishi ukapewa jina lake kwa umaarufu wake.

3. Ni mtu aliyetaka kulitumbukiza taifa ktk machafuko kwa kauli yake ya kuwa iwapo rasimu ya katiba ya jaji warioba ingepita "angeingia msituni kupigana".

4. Ni mtu ambaye hakupenda demokrasia hata kidogo na alitusi mara kadhaa vyama visivyo madarakani na kutoa lugha ya kejeli.

5. Ni mtu aliyemtukana sana jaji Warioba kuliko watu wote nchi hii. Alitoa matusi, kejeli na dharau dhidi ya jaji Warioba huku akiwa anajua/hajui kuwa mzee Warioba alikuwa "mjumbe" tu wa kile walichosema watanzania.

6. Mwanae Komba, Fred alijiunga na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) punde tu alipomaliza kuchukua shahada yake pale SAUT na akamwelezea tabia ya baba yake kuwa ni "MBAYA" na miongoni mwa watu walioichukia demokrasia ni huyu marehemu

kwa lipi nipange safari kwenda nyumbani kumzika huyu jamaa? Sina wivu wala inda kwa ndugu yangu, mbunge wangu wa kule nyumbani wala chuki nae. "Ila ukweli hastahili kupata pole ya kifo wala faraja ya kifo kutoka kwa wazalendo na wapinga ukoloni weusi"

Shukrani a. Ngonyani

Machi 03, 2015

Dar Es Salaam

Ngonyani@naij.com/sirngonyani@gmail.com

+255 784 37 97 99
Ungekuwa mzalendo ungehama huko Nyasa?wewe mwenyewe umepakimbia halafu unamsema Komba,kwanza kwani wewe ukienda kwenye mazishi ndo atafufuka?Nganga njaa hapo Dar.
 
1. Ni mtu ambaye ameifikisha nchi hapa ilipo kwa kusaidia kurubuni maskini wasio na elimu kwa vinyimbo vyake ili waichague CCM na kuwapiga vijembe wapinzani.

1. Ni mtu aliyehamia Dar badala ya kuishi Liuli au hata Nyasa, huku akijua kuwa yeye ni mwakilishi wa wananchi. Tena huko Dar hadi mtaa anaoishi ukapewa jina lake kwa umaarufu wake.

3. Ni mtu aliyetaka kulitumbukiza taifa ktk machafuko kwa kauli yake ya kuwa iwapo rasimu ya katiba ya jaji warioba ingepita "angeingia msituni kupigana".

4. Ni mtu ambaye hakupenda demokrasia hata kidogo na alitusi mara kadhaa vyama visivyo madarakani na kutoa lugha ya kejeli.

5. Ni mtu aliyemtukana sana jaji Warioba kuliko watu wote nchi hii. Alitoa matusi, kejeli na dharau dhidi ya jaji Warioba huku akiwa anajua/hajui kuwa mzee Warioba alikuwa "mjumbe" tu wa kile walichosema watanzania.

6. Mwanae Komba, Fred alijiunga na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) punde tu alipomaliza kuchukua shahada yake pale SAUT na akamwelezea tabia ya baba yake kuwa ni "MBAYA" na miongoni mwa watu walioichukia demokrasia ni huyu marehemu

kwa lipi nipange safari kwenda nyumbani kumzika huyu jamaa? Sina wivu wala inda kwa ndugu yangu, mbunge wangu wa kule nyumbani wala chuki nae. "Ila ukweli hastahili kupata pole ya kifo wala faraja ya kifo kutoka kwa wazalendo na wapinga ukoloni weusi"

Shukrani a. Ngonyani

Machi 03, 2015

Dar Es Salaam

Ngonyani@naij.com/sirngonyani@gmail.com

+255 784 37 97 99

kweli wewe ni "Ngonyani" binadamu huwa hafikiri hivi,
 
Okay kisiasa unaweza ukawa uko sahihi. Je kiubinadamu, umewafikiria ndugu zake? mkewe? watoto wake wote? Unataka kuniambia hutaki kuwatia faraja wafiwa? naamini umeteleza.
Kwann tusimuache tu akajieleze mbele ya kiti cha haki huko akhera?

Wakuwafikiria ndugu alipaswa kufanya hivyo marehemu mwenyewe. Wakati anamtukana na kumsimanga Warioba kuwa anasubiri kufa mbona hamkumuonya kuwa Warioba ana watoto na ndugu wanaomtegemea hivyo kumchulia kifo ni kuleta kilio kabla ya wakati? Hawa wanasiasa wanapaswa kusemwa kwa matendo yao wakiwa hai na hata wakifa ili wanaobaki wasije endelea kufanya upuuzi wakidhani watasifiwa makaburini kwa mazuri tuu. Lazima wajiulize jee kauli na matendo yangu yatawapa faraja familia yangu siku nikifa? Tumeona wema wangapi ambao walikuwa wanasiasa bora na wenye weledi mzuri wakifa na familia zao zikajisikia fahari kwa aliyokuwa anatenda Mzazi wao?
Hakuna anayemhukumu bali anajadiliwa sifa zake zote mbaya na nzuri. Mbona wakisema alikuwa mtunzi mzuri na mwenye sauti nyororo kama Tausi watu mnachekelea? Na wakisema alikuwa msema hovyo, mtu wa kejeli na matusi, mwenye dharau kwa wapinzani wake na wananchi kwa jumla na alimtukana Mzee Warioba anayeheshimiwa na watu wote kasoro yeye mpaka mzee Warioba kidogo apate stroke MNANUNA. Kwani sio kweli? Kasingiziwa?
Kusema ukweli juu ya marehemu hata Marehemu mzee Mandela alisisitiza kuwa ni jambo jema la msaada kwa wale wanaobaki wakati akitangaza mazishini kuwa Mwanae kafa kwa Ukimwi na hakuna haja ya kuficha.
 
shukrani a. Ngonyani

attention seeker... Cheap popularity.. Low thoughts...
Usitafute umaarufu wa kijinga wewe... Pamoja na yote binadamu atabaki kuwa binadamu tu... Huna haja ya kumuhukumu komba... Wewe ukiwa kama nani katika mamlaka ya roho... Wewe umetenda mangapi ya kuwaudhi na kuwaharibia maisha toka uzaliwe mpaka hapo ulipo??? Unadhani una utakatifu wa kumuita komba alikuwa mchafu...

Kama wewe ni chadema (am inn as well) unadhani mtoto wa marehemu ambae ni chadema mwenzio akisoma hapa atajisikiaje?? Kuna wakati mwingine tusitafute umaarufu wa kwenye mitandao huku nafsi zikitusuta...

Think before you act!!!!

think before you ccm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom