SABABU 10 za kwanini Dk. John Pombe Magufuli atashinda uchaguzi wa mwaka huu

Mkuu andiko lako lina busara kiasi flan lakin lina mambo fulan ya kishabiki na uongo uongo.. umesema majimbo ni 266. Na ukawa wamesimamisha wagombea majimbo 211. Unaweza kutaja walau majimbo 5 ambayo hakuna wagombea wa ukawa??
Ninayojua mimi hayana mgombea wa ukawa ni pamoja na jimbo la jenista mhagama peramiho,jimbo la january makamba ma jimbo la nanyamba mtwara mengine nimesahau mkuu.
 
Jibu hoja. Mleta maada kajieleza vizuri sana. Tatizo wengi wanatumia nguvu na ushabiki tuu. Outreach ya Ukawa na chadema ni ndogo ukilinganisha na CCM. Kweli upinzani utakuwa mkali but CCM itashinda kwa 80%[/QUOTE


Do you have any vivid evidence to Justify you assertion , that CCM is going to win for about 80%. P/se don't be rigid, Give the bases of

your blind arguments. Pia Usitumie English yako ya Shule za Kata Hapa.
 
Kamati za bunge zinaundwa na wabunge tena wachache sana kitu ambacho Lowasa kwa ufisadi wake anaweza kuwapa hela wote na kumchagua yeye,

pia alitumia pesa nyingi awe mwenyekiti wa kamati ile ili kupambana na membe lakini kwa tarifa yako hakuwahi hata siku moja kusimama na kusoma tarifa ya kamati yake bungeni kutokana na uzoofu wa afya yake.

Nini kiliwashinda kumtoa? Hapa ni unafiki na sasa mnataka kutuambika unafiki huo.
 
Magufuli ndie kiongozi anaefaa, huwa napenda kumuita the Energy man huwezi kumshindanisha na Edo the weak. huo ndio ukweli, viva Magufuli
 
Nimepata nafasi ya kupitia ilani ya chama cha mapinduzi ina mambo mazuri sana, naamini kwa utekelezaji wa Dr Magufuli mambo yatakua safi. kura yangu kwa magufuli
 
kwa mwenendo mzima wa kampeni, na sera za wagombea magufuli ni kweli ana nafasi kubwa sana ya kushinda uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa ambacho hatujawahi kukifikiria.
 
  • "CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
    -Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
    -Mabehewa feki
    -Kiwira
    -Richmond
    -Epa
    -Escrow
    -Epa
    -Dowans
    -IPTL
    -NET GROUP SOLUTIONS
    -Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
    -Biashara ya pembe za ndovu
    -Biashara ya madawa ya kulevya
    -Meremeta
    -Mikataba ya gesi na mafuta
    -Uuzwaji wa nyumba za serikali
    Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo poro​






  • user-offline.png
    ngoshombasa

    6th

 
Lowasa hawezi kuwa raisi, kwanza nina wasiwasi kama atamaliza kampeni, naamini akifikisha nusu ataghairi kabisa na huo uraisi aende zake kutibiwa
 
Tathmin hii ina mantiki, kwasababu hata ukiangalia hali za kiafya kwa wagombea, sera nzuri na mtekelezaji wa sera hizo. Magufuli anafaa kuwa raisi
 
Sababu nyengine ambayo magufuli itampa ushindi ni wapinzani kutaka kupata madaraka kwa kutumia shortcut bila kuwa na mipango madhubuti ya kuingia ikulu, kukosa ilani, kulazimisha mgombea ambae anaumwa, kutokua na falsafa moja baina ya vyama vilivyo katika muungano wa ukawa.magufuli ushindi uko wazi
 
Mtajiju, gari limeshika kasi na haliwezi kusimama kwenye kona likiwa na kasi ya kks 180! Imebuma....
 
Back
Top Bottom