Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

tupo wengi sana tunaotaka kuipigia kura chdm, mimi na familia yangu, ofisini ninapofanyia kazi kuna idadi ya watu 54 waliokusudia kujiandikisha na wote wana machungu na nchi yao, wana hasira na makafiri ccm. wewe unataka kutuambia nini. Mwisho wa ccm ni kutegua kamtego kadogo tu na nipale walipoamua kuihujumu tume ya uchaguzi na takwimu za wapigaji kura lakini kiuhalisia ccm haipendwi na chdm bado ni chama mmbadala FULL STOP.
 
Watanzania wameichoka kabisa CCM lakini bahati mbaya ni kwamba Vyama vya Upinzani vinaongozwa na Viongozi wenye upeo mdogo na wasio na maadili.Hivi inaingia akilini kweli kwa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani kuacha kufanya majukumu ya kitaifa na kwenda kula raha Dubai?CHADEMA bado wanayo nafasi ya kufanya vyema kwenye uchaguzi mkuu ujao ila kwanza wawapige chini Viongozi wote wapuuzi wapuuzi kama hawa wasiojua uzito wa nafasi wanazoshikilia kwenye vyama vyao.
 
To be honest,nimekosa tusi la kukutukana mleta madakwa mtindio wa akili ulio nao.Kamwe watatz hawatastahimili matusi na kejeli km hizi kutoka kwa watu wenye vichwa vinavyoongeza uzito tu ktk miili yao....nimefadhaika sana

Ndiyo walewale.....................kuambiwa ukweli siyo tusi!!
 
Ndio tatizo la kuamini kuwa Mbowe na Slaa watabadilisha maisha yako hatimae unachanganyikiwa akili,kijana jitambua na uchukue hatua acha kutumika.

You are missing the point. Wengi wa wanaoshabikia CCM wanafanya hivyo kwa sababu binafsi na si kwa sababu wanaamini jamii kwa ujumla wake itanufaika. Mimi naamini kuwa society is worse off
kwa kuwa na chama kimoja tu kinatawala miaka yote au tunapokuwa na mazingira ambayo asilimia zaidi ya 80 ya wabunge ni kutoka chama kimoja. Our political situation is unhealthy, working against us, and voters/society as whole (and not individual political parties, Mbowe, Slaa, Lipumba, Mbatia, Yericko etc.) is the ultimate loser. And the whole point of multiparty democracy is to enable society create the needed checks and balances. Nakubaliana na mleta mada kuwa kwa sasa huu uwiano haupo kwa sababu, pamoja na mambo mengine,ya ujinga (ignorance) wa wapiga kura. Wapiga kura hawajaweza kutumia sanduku la kura kama fimbo ya kuwachapa wanaofanya vibaya na kuhakikisha kuna uwiano bungeni kwa maslahi mapana ya jamii. Tumeendelea kuchagua wezi na mafisadi kwa kuwa tu wanatoka CCM. Hata kama upinzani ni dhaifu kama inavyodaiwa, ni muhimu kuhakikisha kuna uwiano. CCM pia ina mapungufu mengi tena ya kutisha na inaendelea kutawala kutokana na uoga wa wapiga kura na wananchi kwa ujumla. Watanzania wangekuwa na tabia ya kuuliza maswali magumu, CCM ingekuwa chama cha upinzani wakati huu. Mambo mengi ya hovyo yanafanywa na watawala na yanatuathiri moja kwa moja lakini tuko kimya. Tunasubiri Mbowe, Slaa, Mnyika, na Lipumba watusemee. Na hata wakisema, hatuwaungi mkono. They cannot do it themselves. Na hata kama CCM ingekuwa haina mapungufu yeyote, bado jamii ingeathirika mno kwa chama kimoja kutawala bunge na wagombea kuendelea kushinda chaguzi kwa asilimia 79 au 80. Kwa kifupi, mahali penye demokrasia ya kweli, chama kimoja kutawala miaka 50 is unheard-of.
 
Watanganyika watakombolewa na WAZANZIBAR. Kule visiwani raia wengi kwa upande mmoja wanajitambua.Wakiweka dhamira ya kweli wanaweza kujiondoa kwenye huu muungano na hivyo kufanya watanganyika wasiwe na namna isipokuwa kukubali matokeo.na siku si nyingi hili litatokea.

Huku bara kumejaa raia wengi wasio jitambua! unprocessed human beings.yes, walio wengi up to 70% ni ama hawajui kusoma na kuandika au ni purely standard 7! na wengi wao wako mashambani. unategemea watu wa aina hii wanaweza kukataa kukandamizwa na siasa za ccm? uwezo wa kuchambua mambo hawana. NA NDIO MAANA WALIO MASIKINI ZAIDI NDIO WANAO IPENDA NA KUICHAGUA CCM! MAJANGA! IGNORANCE IGNORANCE!

Kama tunataka njia ya mkato ya kuidai TANGANYIKA ni lazima tuwape ushirikiano wazanzibar wajitoe kwenye muungano ili nasisi tuipate Tanganyika yetu kwa mlango wa nyuma. HUWEZI KUENDESHA MAPAMBANO YA UKOMBOZI HUKU UKITEGEMEA WANAJESHI WASIO NA UJUZI WALA NYENZO KAMA WATANGANYIKA
 
CCM itaendelea kutawala Tanzania mpaka Kiama kwa sababu hizi
1. Tume ya Uchaguzi ni CCM.
2. Wanapesa Nyingi sana za kuiba Kama Mchanga
3.Wakuu wa Jeshi Ni CCM.
4. Wakuu wa Polisi ni CCM
5.Mahkama zote ni Za CCM
6. Wanahonga Mapesa Mengi
7. Usalama wa taifa ni CCM
hizi ndio sababu kuu za CCM kutawala maisha hata watanzania wote wasiwapigiye kura basi bado CCM itaendelea kutawala.
 
Watanzania wameichoka kabisa CCM lakini bahati mbaya ni kwamba Vyama vya Upinzani vinaongozwa na Viongozi wenye upeo mdogo na wasio na maadili.Hivi inaingia akilini kweli kwa Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani kuacha kufanya majukumu ya kitaifa na kwenda kula raha Dubai?CHADEMA bado wanayo nafasi ya kufanya vyema kwenye uchaguzi mkuu ujao ila kwanza wawapige chini Viongozi wote wapuuzi wapuuzi kama hawa wasiojua uzito wa nafasi wanazoshikilia kwenye vyama vyao.
you are still young you no nothing about politics and the pro and cons of multiparty politics.
 
CCM itaendelea kutawala Tanzania mpaka Kiama kwa sababu hizi
1. Tume ya Uchaguzi ni CCM.
2. Wanapesa Nyingi sana za kuiba Kama Mchanga
3.Wakuu wa Jeshi Ni CCM.
4. Wakuu wa Polisi ni CCM
5.Mahkama zote ni Za CCM
6. Wanahonga Mapesa Mengi
7. Usalama wa taifa ni CCM
hizi ndio sababu kuu za CCM kutawala maisha hata watanzania wote wasiwapigiye kura basi bado CCM itaendelea kutawala.
you do not have to worry, hakuna marefu yasiyo na NCHA! ccm will perish just like all other unjust empires have perished.
 
…………………………………………………………………………………………………………………………………………………
· TUME YA UCHAGUZI

Tume ya uchaguzi wa Tanzania ndiyo inayoratibu na kusimamia zoezi zima la uchaguzi, Tume hii ina wajumbe nchi nzima na wote kwa ujumla wao ni wateule wa rais. Si tu wateule wa rais bali rais kwa mamlaka anao uwezo wa kumfuta kazi mwenyekiti wa tume bila kuhojiwa na mtu yeyote. Kwa mazingira haya unategemea nini kwenye utendaji wa tume? Ni wazi itafanya kazi kwa matakwa ya Mwenyekiti wa CCM ambaye ni RAIS hivyo ni lazima wafanye watakavyo mabwana zao! Kwa Mazingira hayo ili chama cha upinzani kishinde ni lazima chama/mgombea awe na ushawishi wa maeneo hayo kwa zaidi ya 70%. Ila kama kaushawishi ni 60% and below ni lazima wachakachue kirahisi. Hata kama ni mimi kati ya kura 100, mpinzani ana 60 nami 40-Kuongezea kura 22 ili nimshinde wakati tume ni yangu ni KAZI RAHISI SANA. Ndio sababu popote aliposhinda Mpinzani ameshinda kwa 60% and above. Mfano MNYIKA (More than 60%), MBOWE (more than 70%), MSIGWA (More than 60%) name others, But angalia ushindi wa CCM: MASELE-SHINYANGA MJINI (Diff. kura 1), ABOUD (52%), TEMEKE (53%), name others.

· MTUMISHI WA SEKTA ZA UMMA KUWA MWANASIASA HASA WA UPINZANI.

Mfanyakazi yeyote serikalini kama anataka siasa basi ni lazima akubali kuacha kazi, hiyo ndiyo sheria. Japo sheria hii imekuwa ikivunjwa kwa maksudi/bahati mbaya pale mtumishi wa sekta za umma anapoamua kuwa mwanasiasa wa CCM-SHERIA HAIMGUSI. Kwa hali hii, vyama vya siasa hasa Upinzani vimejikuta vikikosa watendaji IMARA wenye upeo na mapenzi mema nan chi hii ambao ni wafanyakazi serikalini. Kulingana na hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, ni ngumu kuacha mshahara wa 3,000,000/= per month uingie kwenye siasa ambayo haujui mwisho wake kama utafanikiwa au lah, wakati huo huo ukiamini uwezekano wa kutofanikiwa ni mkubwa zaidi kwa kuelewa TUME ya uchaguzi haiku huru ili hali mwamko wa watanzania ni mdogo.

· ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI WAPO VIJIJINI

Kulingana na taarifa za Takwimu za hivi karibuni, Idadi ya wananchi sasa imefikia 45 Milion. Kimtizamo Dar (4Mil), Mwanza-Ilemela & Nyamagana (3Mil), Mbeya (1.5Mil), name other town, Kwa wastani watanzania wanaoishi mijini-Ni less than 15Mil, Kati yao wenye sifa za kupiga kura say 5Mil. Kumbuka kutokana na U-BIZE mijini kati ya hao wenye sifa za kupiga kura ni watu 1Mil – 2Mil wenye kutenga muda wa kujiandikisha kwenye daftari ama kupiga kura siku ya uchaguzi.
Vijijini kuna watu 30Mil, wenye sifa za kupiga kura ni 15-20Mil. Kule hata kama mtu ni mfanya kazi ni rahisi kutoenda kazini kwa ajili ya shughuli ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi au vinginenyo. Ieleweke kuwa wengi wao (95%) wanafanya kazi serikalini, Wanafanyabiashara, Wakulima-kwa ufupi wako huru na muda wao. Na hawa wengi wanaijua CCM. Hii inatokana na uelewa mdogo/ ukosefu wa elimu/ Taarifa ya vyombo vya habari ambavyo coverage yake ni ndogo sana kwenye maeneo hayo.

ITAENDELEA NA SABABU MBILI ZA MWISHO; PAMOJA NA NINI WAPINZANI WAFANYE KAMA WANATAKA KUSHIKA DOLA
Angalizo: "Jukwaa la siasa" (facebook) kwa nini mnaondoa post yangu???????? Ina tatizo gani??? Wadau naombeni mjiunge new group "SIASA" facebook ili kuendelea kupata habari hizi.
 
Angalizo: “Jukwaa la siasa” (facebook) kwa nini mnaondoa post yangu???????? Ina tatizo gani??? Wadau naombeni mjiunge new group “SIASA” facebook ili kuendelea kupata habari hizi.
 
Vyama vya upinzania kuwa na makada wa CCM mfano DR. WILBROD PETER SLAA ambaye amekubali kuwa anamiliki kadi ya uanachama wa CCM.
 
Ccm mtaji wake uko kijijini nawengi wao ndio hao ambao hawajielewi..
 
Dr Slaa njoo uone wafuasi walivyoanza kukata tamaa
 
mzimu wa ZZK bado unamsumbua,,, na hali ilivyo sasa,,, nina uhakika lazima ndugu wa karibu wawe beneti ,,,,, maana yawezekana mtu aka vua nguo muda Si mrefu..... badala ya kutafuta chanzo cha tatizo mnatafuta mchawi wa kumuangushia jumba bovu... achaneni na dhana ya ukanda,, matusi... na harufu ya udini (hata kama hamna udini lakini tayari mlisha pakaziwa tafuteni sabuni muoge harufu ya udini imesha wag'aga'ania) sabuni mnayo watumieni wazanzibar na dr. Safari mbona hamtumii resourses mlizo nazo?? ZZK mmemuengua mapema kabla ya uchaguzi wa Kalenga baado tu mnamlaumu... ama kweli mfa maji haachi kutapa tapa. CDM kusimama mpaka mtakapo fungua masikio na kudhibiti vinywa vyenu... Sera ya Gongo imepunguza washabiki pia.... na mitusi yenu humu JF na majukwaani.... plus fukuza fukuza tata. USINGALIE UMEANGUKIA WAPI ANGALIA ULIPOJIKWAA.
 
Angalizo; Ukivunjika muungano ni wazi sana kuwa CCM itaparangayika na wengine watapoteza ajira zao,ndio maana wanatumia mbinu zao chafu na kutumia udhaifu ambao umeuainisha vizuri hapo juu." Vunja muungano huu feki".

Ndoto ya mchana kweupe namna hii
 
Sasa mtashinda vipi chaguzi nyie Chadema wakati wananchi wanaona jitihada za serikali vumbi linatimka nchi nzima mabarabara na madaraja mwenye macho haambiwi tazama.
 
Back
Top Bottom