masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,409
- 14,116
Nimepita Saba Saba jana ili kujionea maendeleo ya viwanda na biashara.
Kwa maoni yangu imepwaya kuliko mwaka jana au juzi.
Katika jengo moja mabanda yalikuwa tupu.
Hata waonyeshaji wa kimataifa wamepungua sana.
Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja.