Saalaaaleeehh

Nchi maskini na hasa familia maskini mazingira hayawapi mwanya wa kuilea mimba kwa na kuifanyia uchunguzi na madaktari kabla ingali changa. Matatizo kama ya kiumbe kipya yanaweza gundulika mapema na kujaribu kufanya tathmini ya kitaalamu kama kiumbe kipya kitakapozaliwa hali yake itakuwaje? Nadhani kama itagundulika hali kuwa mbaya kuna uwezekano wa kutenda dhambi ya kusameheka hata kwa muumba kuruhusu abortion kwani kwa mazingira kama haya kama ni taabu zaidi ya maisha na pengine kuepusha taabu.
 

Aisseh, msee hii inatisha sana mseeh
 
Nadhani walikua mapacha waka merge tumboni kwa sababu anayoijua Mungu mwenyewe... Ila naona ni mzima na ana afya, basi Mungu apewe sifa (Takbir!!!)
 
Eee Mungu hakuna kiwango halisi cha shukrani kinachokustahili kwa kunijalia ukamilifu wa viungo nilinao ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…