Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....Libya imeilalamika kwa Niger juu ya matamshi ya mtoto wa kiume wa Muammar Gaddafi ambaye sasa anaishi uhamishoni nchini Niger. Akihojiwa na televisheni moja ya Kiarabu, Saadi Gaddafi alitishia kuongoza vita dhidi ya serikali ya Libya.
Alisema mapigano kadha yatazuka punde nchini Libya, na kwamba karibu kila siku anawasiliana na makundi ndani ya nchi.
Bwana Gaddafi, ambaye alikimbilia Niger baada ya serikali ya baba yake kupinduliwa Agosti mwaka jana, alisema anataraji kurudi Libya punde.
Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....
watoto wako wengi huyu ni mtoto wake mwingine.hii news mbona kama siielewi huyo dogo si alishakamatwa! inakuwaje tena anaishi uhamishoni?
siyo uzushi hii habari hata mim nimeisikia leo BBC asubuh sa 12 labda hao BBC ndo wazushi, wamedanganya umma.Uzushi mtupu.
Saadi Gaddafi threatens counter revolutionNadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....
Kazi ya simple minders ndio kama hii yako,unakuwa mvivu wa kusoma na kutafuta taarifa mbalimbali afu unawaambia wenzio wazushi wakati wewe ndio mzushi mkubwa.Uzushi mtupu.
nadhani unaishi nyuma ya historia habari hii ilishatoka siku nyingi kwa taarifa yako mtoto wa gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... Kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....
hii news mbona kama siielewi huyo dogo si alishakamatwa! inakuwaje tena anaishi uhamishoni?
Uzushi mtupu.
hii news mbona kama siielewi huyo dogo si alishakamatwa! inakuwaje tena anaishi uhamishoni?
Nadhani unaishi Nyuma ya Historia Habari hii ilishatoka siku nyingi kwa Taarifa yako Mtoto wa Gaddafi anasubiri kiama chake mahakamani... kabla ya kupost news fuatilia na tarehe ya hiyo habari yako....