Hata mimi sijaelewa upepo au mapepo? 😀Mkuu embu fafanua. Napenda saa sana na nazifaham sana ila hili ni jipya kwangu. Zinatumia je upepo?
Hata mimi sijaelewa upepo au mapepo? 😀

Toa Ufafanuzi UnachekaHahhaha mkuu unashangaa ndio hio sasa
Watu WengineHizi saa zenye huu mfumo zilikuwepo miaka mingi tu ya nyuma,ni saa inayojichaji kadri unavyotembea,unapokuwa unatembea unavyotupa mkono kuna kitu kinazunguka ndani kinachaji hiyo saa,na ukiiweka bila kuitumia kwa muda mrefu inasimama,kwahiyo sio swala la upepo...
Nitoke Huku Igangabhilili Simiyu Nije Kusoma Kipeperusha Dar es SalaamKaribu ofisini tukupe kipeperushi usome utaelewa vyote,karibu kipeperushi bure ila SAA tunauza
Nasubiria kipeperushiNitoke Huku Igangabhilili Simiyu Nije Kusoma Kipeperusha Dar es Salaam
Weka Maelezo Hapa,
Huyu Haeleweki
Niko huku wilaya ya Tanganyika,Katavi mkuu.Unanisaidiaje hicho kipeperushi?Mteja ni mfalme mkuu niambie uko wapi nikuletee usome