Saa zinazotumia upepo zinauzwa

Saa zinazotumia upepo zinauzwa

Saa nzuri mkuu,ila uwasilishwaji wa bidhaa yako unatia shaka,
Toa elimu ya huo upepo ,kama ni dalali muulize tu mhusika mkuu akusaidie maelezo
 
Saa amazing
 
Hizi saa zenye huu mfumo zilikuwepo miaka mingi tu ya nyuma,ni saa inayojichaji kadri unavyotembea,unapokuwa unatembea unavyotupa mkono kuna kitu kinazunguka ndani kinachaji hiyo saa,na ukiiweka bila kuitumia kwa muda mrefu inasimama,kwahiyo sio swala la upepo...
Pendulum periodic motion chronometer
 
Muulize mwenye mali kuwa alipokuambia swala la upepo ni kweli au changa la macho? Ikiwezekana akutumie japo maelekezo kutoka Google...achana na uongo wa kuwafuata watu Nanjilinji ukagawe vipeperushi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom